The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,252
- 17,441
Aliyofanya Mkapa (1995-2005)
A: Positives
7. Kufutwa kwa madeni ya nje HIPC
8. Kuongezeka Foreign Direct Investment- Gold Minig etc
10. Muafaka wa CUF na CCM
Kufutwa madeni sijanona faida yake zaidi ya kuwasaidia Watawala wetu waeendelee kukopa na kutumia vibaya mikopo kwa kuingia mikata hewa na kuifukarisha nchi yetu zaidi na zaidi pia kutuongezea madeni tu.
Swala hili inabidi ulitupe kwa JK na serikali yake kwa sababu ndiyo waliobenefit. Nafikiri Muungwana alitumia kujengea zile shule ambazo EL anatamba nazo na nyingine wakafanyia safari za kutafutia ma-investors.
Kuongezeka kwa FDI labda lakini kwenye Madini hata Muungwana anajua tumeliwa, ingawa alikuwepo na ndo maana anawapigia magoti wawekezaji wafikiri kukubali turekebishe mikataba hiyo.
Hapa nakubaliana nawe. Lakini JK hawezi kumunyoshea mtu kidole kwa vile naye alikuwa kwenye cabinet iliyohusika na haya mambo. Lakini mbona mikataba mpy anashindwa kurekebisha mpaka wanaisaini nje ya nchi kutuficha?
Sula la Mwafaka yalikuwa ni Mazingaombwe na Maigizo ambayo CCM wanaelekea kuyarudia tena, wanavuta-vuta hadi 2010. Fukurto linazidi kuwa kali. Si wasikia kauli za Makmba na Kingunge? BWM hakufanya kitu na Muungwana ameamua kuanzisha Mwafaka mpya ingawa kina Kingunge na Makamba wanafanya usanii.[/QUOTE]
Hili swala hakuna anayeliweza. Kila kitu kinachoendelea ni usanii tupu. CCM ZNZ wanajishikilia kwenye muungano kwa vile wanajua hawataweza kuwa hapo bila muungano.