William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
1.
- One point uko right ni kwamba hakuna anayefanana na Mkapa kwa uporaji wa mali za wananchi bila aibu, baada ya Yona, Mramba na Mgonja kwenda Kisutu, hakuna porojo tena mkuu sasa ni kazi tu, na wote mpaka watafika huko hili kwa sasa halina ubishi na Mkapa analijua wazi sana.
2.
- What a point, kwamba kwa sababu Mkapa aliinua uchumi, kitu ambacho kilikuwa ni kazi yake anyways as rais, basi asiguswe na sheria mkuu basi tubadili katiba ya Jamhuri, mwananchi yoyote aliyewahi kulifanyia mema taifa letu akivunja sheria asiguswe. Hizo records ziko wapi na ni nani anyeziandika na kuzitunza kwamba Mkapa was the best ever president sasa kama anaamini hayo kwa nini asijitokeze na kuweka record straight kwamba yeye ameiba lakini alikuwa ni the best! Huyu ni mwzi tu mkuu ametuibia wananchi wa Tanzania anastahjili kutinga Kisutu na it is coming hana ujanja!
3.
- Hapana labda miaka 10 jela na arudishe mali za umma, ya ku-open ni ya Mwinyi yeye alijaribu kutumia maguvu kuzima freedom of speech, unasema aliyoyafanya Pemba ndio ku-open up? I mean ni haki yako kumtetea Mkapa lakini tafuta hoja nzito basi sio hizi za ku-open up maana huwezi kufanya openup kwa kuua wananchi wasio na hatia eti kwa sababu hawakubali hoja zako tu!
3.
- Tunataka Mkapa akajibu tuhuma zake kwenye sheria ya Russia hayana ushusiano wowote na wizi wake Mkapa kwa mali zetu wananchi wa Tanzania, kama unayosema ni legally utetezi wa Mkapa, basi msaidie kujipanga lakini ya Russia hayatuhusu kabisaaa na wala hayafanani.
4.
- Mwinyi kama ana makosa yachunguzwe na yasemwe wazi na aende Kisutu pia, never before uhuru wa habari kama kipindi cha Mwinyi maana kile ni kipindi tulijua hata amri zilizokuwa zikitolewa na mkewe Mama Sitti, lakini sio siri hata Mama Anna kuna wakati alikua akitoa amri kwa taifa huko nyuma lakini hatukujua, lakini ya Mama Sitti hata Mwalimu alituambia wazi, sasa Mwinyi ndiye hasa aliyekua baba wa demokrasia na hana mfano.
- Sheria ni lazima ichukue mkondo wake, Mkapa ni lazima afike huko kama kweli tunataka kusafisha ufisadi, maana yeye ndiye baba wa ufisadi wa high level ambao Tanzania hatukuwahi kuwa nao before na naomba kurudia kwamba ni waste of time kuwafikisha kina yona, Mramba na Mgonja kwenye sheria bila kiongozi wao Mkapa, sasa kama kudai sheria ichukue mkondo wake ni kuwa na jazba so be it!.
Mungu Aibariki Tanzania.
Bubu, hizi stories za kumshtaki Mkapa ni porojo tu. Bahati mbaya sana hata wasomi hawagundui kuwa ni porojo. Kwa Rais wa nchi ile yetu, hakuna anayefanana na Mkapa so far.
- One point uko right ni kwamba hakuna anayefanana na Mkapa kwa uporaji wa mali za wananchi bila aibu, baada ya Yona, Mramba na Mgonja kwenda Kisutu, hakuna porojo tena mkuu sasa ni kazi tu, na wote mpaka watafika huko hili kwa sasa halina ubishi na Mkapa analijua wazi sana.
2.
Watu wote wanaangalia kwenye ANBEN, KIWIRA na source ya UFISADI ila hawaangalii kuhusu uchuni ya nchi yetu na mabadiliko ya haraka sana Tanzania kipindi chake. Binafsi, so far sijamuona rais kama Mkapa kwa Tanzania. Mkapa was the best president of TZ and and will remain so in records for many years. Hakuna kuchekacheka na very serious person.
- What a point, kwamba kwa sababu Mkapa aliinua uchumi, kitu ambacho kilikuwa ni kazi yake anyways as rais, basi asiguswe na sheria mkuu basi tubadili katiba ya Jamhuri, mwananchi yoyote aliyewahi kulifanyia mema taifa letu akivunja sheria asiguswe. Hizo records ziko wapi na ni nani anyeziandika na kuzitunza kwamba Mkapa was the best ever president sasa kama anaamini hayo kwa nini asijitokeze na kuweka record straight kwamba yeye ameiba lakini alikuwa ni the best! Huyu ni mwzi tu mkuu ametuibia wananchi wa Tanzania anastahjili kutinga Kisutu na it is coming hana ujanja!
3.
Of course bila kuwa kama vile tusingeweza hata kuc-chat hapa kwenye JF. Ali-open up kila kitu, vingine vinawafanya watu wajichanganye kwa vile wao wanataka. Mimi nashauri kuwa alitakiwa apewa another 10 years watu wajue uchumi imara maana ni nini!.
- Hapana labda miaka 10 jela na arudishe mali za umma, ya ku-open ni ya Mwinyi yeye alijaribu kutumia maguvu kuzima freedom of speech, unasema aliyoyafanya Pemba ndio ku-open up? I mean ni haki yako kumtetea Mkapa lakini tafuta hoja nzito basi sio hizi za ku-open up maana huwezi kufanya openup kwa kuua wananchi wasio na hatia eti kwa sababu hawakubali hoja zako tu!
3.
Zaidi ya hiyo, hizi politics za bei ya vitu kwa investors, by the way sijui kama watu wamewahi kujiuliza watu kama Abrahamovich na na mwenzake mwenye kampuni ya Yukos walinunua kwa bei gani zile kampuni kule Russia na kwanini?! How do we compare with Tanzania? Russia ni mfano mmoja, iko kibao, lakini Russia tunafanana kwa na uchumi wa aina moja (state controlled) kabla ya collapse ya USSR.
- Tunataka Mkapa akajibu tuhuma zake kwenye sheria ya Russia hayana ushusiano wowote na wizi wake Mkapa kwa mali zetu wananchi wa Tanzania, kama unayosema ni legally utetezi wa Mkapa, basi msaidie kujipanga lakini ya Russia hayatuhusu kabisaaa na wala hayafanani.
4.
Mambo ya mafisadi, hata Kikwete akiondoka tutawaona wengi tu. Mbona enzi za mwinyi kulikuwa kuchafu zaidi lakini kwa kuwa press freedom ilikuwa ndogo hatukuweza kujua na kufanya kama sasa. Unakumbuka ambushi ya Mrema airport na yake majina? Umewahi uliza whose names were they? Mimi nadhani tusiwe na jazba tu kuwa Mkapa aende mahakamani. Tujumuishe mambo kadhaa ambayo ni mazuri. Vinginevyo tunaweza jikuta tunashangilia tu kama soccer fans ambao kila wakati wanategemea team yao ishinde. Ikishindwa unafukuza coach!