FYI Its a must to mention ni sheria ipi unaitaja kwa ibara pindi unapoweka au ku-quote au kuitaja ibara na kifungu chake pia kusema ni sheria ipi ama katiba, ama sheria ya ardhi ya mwaka 1999, sheria ya ndoa ya mwaka 1972, national park ordinace cap (year) etc. I mean you have to mention the law and year in which was enacted or put in force. It is a must and not just mentioning ibara is not enough to detail. Sheria ni ngumu anyway kwa kuwa inahitaji umakini. Hata kama ni Jaji anapo-refer au ku-qoute lazima ataje ni sheria gani na ya mwaka gani na ibara ipi n.k.. OKEY!!! Kila mtu kumbuka anapaswa kujua sheria ili asivunje sheria. Thanks Kuhani once again for clarification