Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Mimi nataka kutoa credit kwa Mkapa. Naomba mniambie mambo aliyoyafanya ambayo hayakuwa sehemu ya wajibu wake na kazi yake aliyoombea kura. Ni yeye aliyepita mara mbili kwa wananchi akiomba kura ili apewe nafasi ya kuongoza nchi yetu na mara zote wanananchi wakamuamini, na akaenda kufanya mambo ambayo alitakiwa kufanya.
Sasa ni yapi ambayo aliyafanya nje ya wajibu wake na kazi yake ili tumpe sifa?
vinginevyo, kila mtu anayefanya kazi yake aliyoajiriwa kufanya anahitaji kupewa sifa?
BongoTZ naomba uniambie tu kwa maneno mepesi (unaweza kuoutline) ni nani alichofanya ambacho anastahili credit, kitu ambacho hakikuwa sehemu ya kazi yake?
Rais aliyetuletea kina Rostam na Lowassa, eti akumbukwe kwa mazuri? Hapa ndio ninazimia na sisi wabongo!
You know I posted this thread to test and see how smart or foolish Tanzanians really are, and most of you (indeed) have proved to be the latter.
Foolish people.
Acheni kukaririshwa mambo na inner circle wa Kikwete hapa!
Be smart people.
Rais aliyetuletea kina Rostam na Lowassa, eti akumbukwe kwa mazuri? Hapa ndio ninazimia na sisi wabongo!
KWA KIFUPI LOWASSA NA ROSTAM ...ndio waliombeba kikwete zaidi mbele....kwani hata ule uchaguzi wa 1995 waliolishana yamini KIKWETE ALIJUA NI MSINDIKIZAJI TU...HAKUWA NA UMAARUFU...UMAARUFU ALIUPATA GHAFLA BAAADA YA LOWASSA KUPIGWA FYEKEO NA NGUVU ZOTE ZA VIJANA KUHAMISHIWA KWAKE...AMBAZO BAADAYE ZILIWASABABISHIA MAJERAHA SUKWA SAID SUKWA..NA ...JOHN JOHN GUNINITA....
Hii ni kawaida kabisa kwenye siasa. Lakini hakuna aliyemlazimisha Kikwete kumteua Lowasa kuwa waziri mkuu huku akijua atakuja kuwa mzigo kwenye utawala wake.
Nafikiri tukiongea kiutafiti huwezi kusema kuwa Mkapa hakufanya kazi,katika kipindi chake shillingi ilistabilize kuliko wakati mwingine wowote.Ikumbukwe kuwa alichukua nchi wakati inflation iko double digits.Kuna mambo kama ya MMEM,MES kwa upande wa Elimu kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala ya elimu utabaini hiyo ilikuwa a good initiative.Barabara zilijengwa tuu hasa njia ya kati ambayo kwa sasa imesimama na mengine mengi tuu.Hao waliovunja mkataba wa ATC wameleta nini?habari zilizopo hata mafuta ya kurusha ndege hakuna, kukodi ndege mbovu n.k. Ni kweli kuna mambo aliyovurunda kama wengine waliomtangulia lakini hatuwezi kuacha kumpa credit ingawa bwana Pundit anajaribu kutumia standard one mathematical analysis,i beg to differ.
Kikwete mwenyewe tayari ni mzigo kwa watanzania. Pinda ambaye amemrithi mzigo Lowasa naye anaonekana kuwa mzigo mwingine. Sasa ch kufanya ni kuitupa chini mzigo yote then tuanze upya!!!!
Mimi nataka kutoa credit kwa Mkapa. Naomba mniambie mambo aliyoyafanya ambayo hayakuwa sehemu ya wajibu wake na kazi yake aliyoombea kura. Ni yeye aliyepita mara mbili kwa wananchi akiomba kura ili apewe nafasi ya kuongoza nchi yetu na mara zote wanananchi wakamuamini, na akaenda kufanya mambo ambayo alitakiwa kufanya.
Sasa ni yapi ambayo aliyafanya nje ya wajibu wake na kazi yake ili tumpe sifa?
vinginevyo, kila mtu anayefanya kazi yake aliyoajiriwa kufanya anahitaji kupewa sifa?
BongoTZ naomba uniambie tu kwa maneno mepesi (unaweza kuoutline) ni nani alichofanya ambacho anastahili credit, kitu ambacho hakikuwa sehemu ya kazi yake?
Mwanakijiji, I think ukisoma vizuri nimeainisha kwenye thread baadhi ya mambo aliyofanya Mkapa japo ilikuwa kwa kifupi (rejea thread). And yes, nakubaliana na wewe kuwa ilikuwa ni wajibu wake kufanya hayo mambo yote. Ila pia kumbuka kuwa (rejea thread) nimeanisha hali halisi ya nchi aliyoipokea toka kwa mzee Ruksa coupled na uharibifu uliokuwa umefanywa na mzee Mchonga na sera zake za ujamaa, conditions alizokuwa amewekea na shirika la fedha dunia/nchi wahisani (ulipaji madeni n.k), pamoja na terrible supporting casts waliokuwa wamemzunguka ( ambao ndio waliokuwepokipindi hicho na hata sasa hivi bado ndio waliopo bado/mzunguka Kikwete) . Ambao, in all fairness, Mkapa mwenye (one guy) asingeweza kuwa-monitor wote at oncekiasi cha kupelekea watu waliokuwa wamehadawa na tamaa zao (waliomuona mkapa anajaribu kurejesha nidhamu kazini na kuchonga dira ya uwazi ndani ya serikali) kuanza kuiba haraka haraka ili wapate chao mapema kabla screw haijawa tighten up zaidi (Balali and all other guys/mafisadi, hili unafahamu mkuu).
Ukichukua yote hayo, kisha ukalinganisha na kile alichokifanya Mkapa ndani ya kipindi cha miaka kumi (japo ilikuwa ni wajibu wake), utaona kuwa Mkapa alijitahidi and he deserves some credit.
P.S. ukitaka maelezo zaidi: nipatie email yako nitakutumia maelezo kwa kirefu. Maana hapa JR naingia time ambayo niko break, na sitapata muda mzuri wa kukuelezea mazuri yote aliyoyafanya Mkapa kwa muda mchache ninaokuwa nao (esp. hapa). As matter of fact, I know for sure kuwa for a smart guy like you utakuwa unajua already mema na mazuri ambayo Mkapa ameyafanya na sioni kama nitakuwa na magic language ya kuku-pursuade kama mpaka sasa hivi bado uko skeptical na kila kilichoandikwa humu.
Pease know that I'm not your enemy. I'm one of you in this battle against ufisadi. All I was trying to do is to stir a honest conversation about this whole ufisadi thing. Coz I personaly feel that mzee Ben is being mistreated here. so when I used the term "foolish" yeasterday, it was not my intention to offend/mock anyone. I wish if only I had chosen the right wordand I apologize for that.
I'd have also to say that since the very first day I joined this forum (JF), I have read tons of convincing arguments from different smart people whom I have yet had a chance to shake hands with (maybe someday I will). So I respect you all.
And having said that, I still hold to the belief that "Mkapa ni mtu safi."
Thanks.