HUYO MKAPA ANAJULIKANA KWA KUJIKOMBA WAKATI HUO ALIJIKOMBA KWA AKINA BUTIKU WAKAMPIGIA CHAPUO TANGU SHULE HUYO ALIKUWA MTU WA DRAMA SANA HIYO NI KAZI YAKE SIKU ZA MWISHO NA MWALIMU WALIKUWA HAWA IVI KWANI DILI YA NBC.Fisadi Mkapa alijivisha ngozi ya kondoo wakati wote alipokuwa katika serikali ya Mwalimu hivyo Mwalimu alikuwa ana kila sababu ya kumwamini. Kama kungekuwa na chochote katika utendaji wa fisadi Mkapa basi Mwalimu asingesita kumtolea nje. Wangapi aliwaogundua kwamba wana uroho wa utajiri aliowasemea hadharani? Hivyo hapa tumsilaumu Mwalimu, kwa sababu hakuwa na uwezo wa Mungu wa kumtambua fisadi aliyejivisha ngozi ya uungwana, uchapa kazi, asiye mroho wa utajiri n.k.. Wa kulaumiwa ni huyu huyu dhalimu fisadi Mkapa.
HAKUNA KINACHO MSUMBUA MKAPA NI MTU ROHO MBAYA KWANI MAKUZI YAKE YALIKUWA YA SHIDA SANA SO KULA KWA MIKONO MIWILI AMEZOEA S DONT THIK ATAKUJA FUNUA MDOMO WAKE ....Mmmmh hatuwezi kusema haya ni uongo au ni kweli kwa kuwa yeye mwenyewe BMW amekuwa kimya mimi nafikiri kwa kwa kuwa haya mambo yamekuwa yakiongelewa sana ni vema akajitokeza na kuyafafanua ili kutuweka wananchi wenzake wazi maana hatukumtuma ikulu kwenda kujilimbikizia mali hata huyo fix LW mbona alijitokeza na kutufafanulia BMW jitokeze uyaweke wazi mambo haya ather wise watu asume ni ya kweli
Mkapa is one good example of how Nyerere was sometimes wrong in major decission making!
Sijui ni hadi lini watanzania tutaendelea kuishi kwenye kivuli cha uzushi na kuzusha mambo,mimi nilikuwepo pale Chimwaga wakati mwalimu Kwa ustadi akijenga hoja ya kwa nini kura zirudiwe. Alisema kuwa kanuni za uchaguzi za CCM zinasema mtua anayetaka kugombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho ni lazima apate zaidi ya Asilimia 50% ya kura zote zilizopigwa.
kwa bahati mbaya aliyekuwa anaongoza wakati huo,Jakaya kikwete alikuwa hana kura hizo. na kura ziliporudiwa wafuasi wa Cleopa Msuya walihamia kwa Mkapa na kumpa ushindi alioupata. Sasa hapa Mwalimu alilazimisha nini?
Pili mwalimu alikuwa hana tabia ya kutumia ubabe kama Mkapa au Usanii kama Kikwete katika kujadili mambo makubwa yanayohusu nchi,lakini pia alikuwa hana simile kwa wale waliokuwa wanataka kucheza na madaraka yake aliyokuwa nayo kikatiba.
Mfano wa mapema kabisa ni pale wakati TANU walipokuwa wako kwenye kikao wakijadili kama chama hicho kiingie kwenye kura TATU au wasiingie. Mwalimu kwa kutumia ushawishi wake alikishawishi kikao hicho kuingia kwenye kura tatu.
Wajumbe wengine wakiongozwa na Kina Mtemvu walisema nguvu ya mwalimu katika kikoa hicho haitokani na ushawishi wa hoja bali inatokana na hofu ya baadhi ya wajumbe kuogopa kubishana na mwenyekiti wao
kiungwana kabisa mwalimu akakubali kujiondoa kwenye Uenyekiti wa kikao na kumwachia Mwalimu Kihere wa Tanga na yeye kuwa mjumbe wa kawaida. hata hivyo mwalimu aliwashinda kina Mtemvu kwa hoja na hatimaye TANU akaingia kwenye uchaguzi na kushinda na hatimaye kupewa serikali ya Madaraka ya watanganyika.
Habari hii ingekuwa imetolewa na The Guardian la UK ungeona kesho yake Wabuunge wanavyolalama kuhusu Mkapa. Lakini sababu ya habari ni ya Kubena then utasia ni cheap story for the sake of making news.
What CCM are missing ni kwamba JK ndio anavujisha hizi habari kwenye public. Yeye na wenzie ndio wanampa hint Kubena. So, CCM i worn you that there is a rat in your team. It's about the time to find the rat or things will turn to be chaos.