Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,870
- 32,650
Ha ha ha mbona bado upo?Lowasa akija UKAWA mimi natoka ,...
Ha ha ha mbona bado upo?Lowasa akija UKAWA mimi natoka ,...
Hadi wewe!!!Wapiga kura wanaojitambua na wenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawawezi kupoteza kura zao kwa huyu fisadi mgawa rushwa katika nyumba za ibada.
Sio tu wamemkaribisha bali wamemsimamisha kama mgombea urais. Unabisha?ukawa hawawezi mkaribisha mwizi! wezi wenzie wamshindwe sa ukawa itakuaje???
Na kweli hawezi.LOWASSA hawezi bila CCM, Acheni kujidanganya!
ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm
Ngamia kapenya kwenye tundu la sindanoLOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM

Duh, ama kweli duniani kuna maajabu. Vipi uliwapigia kura ccm?Ukawa wakimpokea lowassa ntaipigia kura ccm
Duh! Leo unamlamba mackalio, aiseeh!Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Alafu leo wanalalamika kura ziliibiwa.Duh, ama kweli duniani kuna maajabu. Vipi uliwapigia kura ccm?
Wakati wa kampeni ulijinasibu kuwa hauna chama.Du!, naisubirieje hiyo move!, just imagine, Pasco wa JF, akabidhiwe kitengo cha mawasiano cha UKAWA, Ukawa itapaaje?!.
Merry X-Mass.
Pasco
Ndio hapo sasa.Alafu leo wanalalamika kura ziliibiwa.
Duh, inakuaje mkuu unakula mavi siku hizi tena ulokunya wewe na wenzako? Huoni kinyaa??Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Mbona viongozi wa ukawa walimpendekeza kuwa mgombea wa urais? Ha ha ha.Hata kama atahongo billions viongozi wa ukawa hawawezi kumpendekeza na hawawezi kumkubali by any means. Hauziki huyo
duuh..aisee,leo kama si wewe vileLowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Sio tu mlimpokea bali mnahaha kumsafisha hadi leo hii.UKAWA hatuwezi kumpokea mtu mchafu kama Lowassa
Huyo kila nikisoma comments zake za miaka ya nyuma huwa nashangaa, ila nashangaa zaidi mpaka sasa hajabadili id yake .Kumbe wewe nae ni mlevi wa mirungi?
Mambo?hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani
Mambo?Tena akome anajua jasho la wananchi wanaopigania UKAWA abaki na mazimwi wenzie CCM