Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Kwa hiyo mambo anayofanya Lowassa huko chadema ni kwa manufaa ya ccm?
 
Sikiliza wewe FISI, mimi sio ukawa wala sisiemu. Nachotaka ni rais bora, sasa mnyonya mapvmbu ya EL kama wewe unakuja na upumbafu eti EL for presidency, unahitajika kupelekwa mirembe, kwamba hujui EL ni worse than JK??

Kuona hili hauhitaji kuwa na certificate, diploma au shahada zingine. Wala hauhitaji hesabu au science nyingine kujua kuwa hafai, haiwezekani anatumia pesa nyingi hivi kutaka kuwa rais. Na kwa taarifa yako, huyu hata sisiemu hakatizi. Mtamremba sana na kukisi mapvumbu yake, ila hamna kitu. Sidhani kama sisiemu ni wapumbavu kama wewe na team yako.
safi sana ulisema sawa nyakati zile
 
Halafu watu kama hawa leo ndiyo wanasimama na kutuambia wanaopigia kura ccm hadi leo ni wajinga.

Hali hii ndiyo inafanya watu waendelee kupigia kura ccm tu,maana huwezi ukafaja majaribio kwa aina hii ya upinzani.
 
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Sasa hivi anazo hizo fikra ? Bado ni mla rushwa au aliacha?
 
Mtoa mada umeongelea Lowassa 'kugawa pesa kama njugu' ili awe rais. Nakukumbusha kuwa UKAWA haihitaji mgombea mwenye sifa kama hiyo! Na siyo mgombea tu, bali haihitaji hata mwanachama wa kawaida tu kuwa na hiyo sifa ya kutoa rushwa.
Msimamo wako vipi? Alikuja na akapeperusha bendera ya urais
 
Back
Top Bottom