Mjue Josiane, Miss Rwanda anayetikisa nchi

Mh! Mkuu una makengeza? Ana uzuri gani huyu? 😳😳😳

Sijasema ni mzuri ila nimeongezea tu kwenye thread iliyoletwa bila picha yake.

Bottom line; Sina makengeza.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nini kingine zaidi?

Uzuri wake anaouanika pale wewe unakusaidia nini? Ngunga?
Unakusaidia nini? Mwanamme akiona mwanamke mzuri huwa anaondoa stress. Ndio maana mtu akuona mwanamke mzuri lazima ageuke aone na maungo ya nyuma. Ukitoka asubuhi kama mtu wa kwanza kukutana nae ni mwanamke mzuri hata huko uendako kutakua na mafanikio mazuri na roho yako inakua kwatu siku nzima. Tofauti na ukikutana na kizuka sura mbaya pretender aliyefishwa ma baibui meusi.
 
?

Kwa hiyo huyo bint anajianika ili wewe ukamuoe?
 
tafadhali sana,naomba niwekee hapa picha ya Mbwaa.ana Samaaataaa kisha nitakuja kucomment
huyu hapa
unnamed.jpeg
josiane-mwiseneza.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom