BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mh! Mkuu una makengeza? Ana uzuri gani huyu? 😳😳😳
Black beauty
Hakuna ubora katika kuuza utu wetu, mbora kati yetu ni Mcha-Mungu.
Ujinga ulioje.
Mwanamke anafanya kila njia ili akajiuze miwili wake. Na watu wanasifia!
Unazeeka vibaya na wewe.Ujinga ulioje.
Mwanamke anafanya kila njia ili akajiuze miwili wake. Na watu wanasifia!
Anaogopa wapinzani wake watamkopi.Weka picha yake mkuu, umeweka maelezo sawa lkn picha Za kukusupport
Ulivyojiuza ww mbona hakuna alikushimia bango mjinga mmoja wwUjinga ulioje.
Mwanamke anafanya kila njia ili akajiuze miwili wake. Na watu wanasifia!
Mbora= boraHakuna ubora katika kuuza utu wetu, mbora kati yetu ni Mcha-Mungu.