Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,313
- 54,847
Arusha una muda gani?Acha ukuda hamna cha ziada ukiacha vibaka na wanywa pombe na mbege na bangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha una muda gani?Acha ukuda hamna cha ziada ukiacha vibaka na wanywa pombe na mbege na bangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umekaa miezi sita. Nilifikiri una miaka 10. Hapa kama hujapazoea hutoboi mkuu, kama umetoka majiji lain lazima usande hahaha.. anyway nilikuwa natania. Ni hiv chuga usipokuwa na kazi maalum lazima unyooshe mikono, hakuna cha kuungaungaMimi nimeamia nina miezi sita hamna cha maana, mzunguko wa pesa wenyewe mdogo sana, mji qa kijinga sana..! Eti mji wa kitalii hahahah..! Watalii ni junction tu wanaishia kuwaona kwenye tours nimeboreka hapa mpk basi najipanga kurudi zangu jijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha jiji kama jiji kwa maana ya arusha mjini ni padogo.Upo sahihi ,lakini sikutegemea Arusha ndiyo hii ,nilijuwa bonge la mji ,kumbe kawaida tuu
Huijui Chuga wewe ...Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.
Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.
Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.
Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Naijua Arusha vzr mkuuNakuapia hujatembea arusha uijue vizuri:yani wewe ni barabara tu tena hii ya juzi ndio unasema hamna lolote!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha kulinganisha Arusha na Moshi kinanifanya nikushangae sana, sema kwa kuwa ulikaa 4weeks tu.Ndiyo maana nimesema upo overrated
Mwanza inakua Sana mkuu na inachangamka Sana hasa maeneo yote ya mjini Kati kemondo,samaki,Sahara, mzunguko,rwegasore, makoroboi, bugando,meko,mabatini,sasa hivi CBD IPO mpaka njia panda ya kiloleli na kirumba.kama unaelekea airport .mwanza inaikimbiza dar.na sa hivi ndo mkoa wa pili kuwa population kubwa almost 3m huku jiji likiwa na 1 million people ndo maana ni second largest city in tzEbwana hii kariakoo ulioitaja hapa ni ya Zanzibar au hii ya simba na yanga. Acha fix babu.
Labda mwanza misungwi na ukerewe sio city nikimaanisha wilaya zake za ilemela na nyamagana.hivi unajua yanayoendelea mwanza? Vitu gani vinajengwa mwanza.achana na huu mji Kwanza unaizidi mbali Sana Arusha .kimaanispaa kilichotangazwa jiji 2009 Tu .wakati mwanza ni jiji tangia 2000Mwanza naijua na Arusha naijua...mwanza imepoa sana sasa hivi ingawa inawezekana bado ipo juu ya Arusha....lakini ukweli ni kwamba Arusha sasa hivi inakua haraka...Arusha ushiawahi fika karibuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi hawahijui Arusha inayongumziwa mpaka na wazungu ni ipi kwa sababu eidha watanzania hatupendi kutembea tukishafika stendi tunadefine mji ulivyo kwa Arusha sivyo, ukitaka kuijua Arusha inayozingumziwa ni lazima huakikishe umezungukia mahala kama Ngorongoro huku licha ya kuona wanyama utajionea hoteli za nyota tano zikiwa zimesimama msituni, Arusha national park, Ziwa Duluti, Njiro na Angalau ukalale Hoteli ya nyota tano kama Ngurudoto. Ila kama hauna pesa narudia tena kama hauna pesa huwezi kulijua jiji la Arusha utaishia ngarenaro na kilombero.
Umemaliza mkuu waambie arusha sio hapo ndani ya jiji tu!watoke nje ya jiji ndipo wataijua arusha vizuriWatu wengi hawahijui Arusha inayongumziwa mpaka na wazungu ni ipi kwa sababu eidha watanzania hatupendi kutembea tukishafika stendi tunadefine mji ulivyo kwa Arusha sivyo, ukitaka kuijua Arusha inayozingumziwa ni lazima huakikishe umezungukia mahala kama Ngorongoro huku licha ya kuona wanyama utajionea hoteli za nyota tano zikiwa zimesimama msituni, Arusha national park, Ziwa Duluti, Njiro na Angalau ukalale Hoteli ya nyota tano kama Ngurudoto. Ila kama hauna pesa narudia tena kama hauna pesa huwezi kulijua jiji la Arusha utaishia ngarenaro na kilombero.
Mimi nawacheki mnavyobishana tu kuhusu Arusha.Mimi naishi hapa na nimekulia Arusha ila asili ya wazazi wangu ni Upareni-Usangi.Arusha zamani ilikuwa nzuri kwa sababu miji mingi ilikuwa bado haijakua tofauti na sasa.Hali ya hewa ni nzuri lakini mji ni wa kawaida sana.Watalii ni wengi wanaoenda kwenye vivutio vya utalii lakini hakuna impact ya moja kwa moja kwa sisi vijana tusiojishughulisha bali tumebaki tuna suka rasta tukisubiri zali la kuolewa/kuoa ajuza wa kizungu.Mzunguko wa fedha sasa hivi ni mdogo na vijana wengi wa Arusha wamepigwa doro tu,mikwara kibao,bangi,mirungi,mbege,viroba vya pombe na kujisifia kuoa au kuolewa na wazungu.Eti kijana wa kiume "kuolewa"na mwanamke wa kibongo ni michosho,afadhali "ajuza wa kizungu"hawa vijana ni wapuzi kabisa kwa sababu ninayosema yapo kwenye vinywa vya vijana hawa,hata ukijaribu kutembelea vijiwe vyao utayasikia na kushuhudia katika mazungumzo yao ninayoyasema.Kuna mwenzao mmoja nilizinguana nae facebook.
Akanichimba biti eti usije ukaja chuga nitakumaliza.
nikaona kijiti kinampeleka vibaya.unamchimba mtu biti kwenye mtandao hakujui humjui.utampatia wap.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingine baadhi yetu hasa vijana wa Arusha huwa tunakuwa wajinga na wapuuzi.Kuna mwenzao mmoja nilizinguana nae facebook.
Akanichimba biti eti usije ukaja chuga nitakumaliza.
nikaona kijiti kinampeleka vibaya.unamchimba mtu biti kwenye mtandao hakujui humjui.utampatia wap.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kaa kimya wewe mkora huna ulijualoSijasema naijua Arusha,nimesema inakuzwa visivyo .