bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,713
Mimi nimeamia nina miezi sita hamna cha maana, mzunguko wa pesa wenyewe mdogo sana, mji qa kijinga sana..! Eti mji wa kitalii hahahah..! Watalii ni junction tu wanaishia kuwaona kwenye tours nimeboreka hapa mpk basi najipanga kurudi zangu jijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli sifa nyingi cha maana hakuna .
Sent using Jamii Forums mobile app