Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mzee kasome nlichoandika au google master plan za hiyo miji mzee utaelewa tuu na mm sijasema arusha n kubwa kwa mwanza ila ukuaji wa arusha n mzuri kuliko mwanza ndio maana nkauliza kwa nn mwanza inafananishwa sana na arusha kuliko mwanza vs tanga au mbeya akati hayo n majiji makongwe kuliko arusha afu pili daraja la furahisha lisikushangaze sana kwa sababu mwanza nzima hamna barabara ya njia nne na yakisasa kama ya sakina tengeru afu izo ghorofa unazosema zinahesabika naomba nletee ghrofa tatu zanye 14+ mwanza zaidi ya hotel ya nsssf mkuu zunguka uone
Mwanza kuna barabara 6 we boya
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Miji Tanzania inafanana tu hamna mji wakuuita mzuri sana na una tofauti sana na mingine!! Kawaida saana!
 
Mwanza kuna barabara 6 we boya
bro sa lazima tutukanane na arusha naye sehemu kubwa ya sakina tengeru zina service road wich make it total n 8 ways
nlete intersection pana kama hio ya triple a mwanza io intersection inachukua lane 10 upande wa ngaramtoni lane 4 upande wa kona nairobi na lane 7 upande wa mianzini na izo lane zinaanza 0.5km from the intersection ukipita usiku unavutiwa kama uko korea bro
IMG_20190914_191136_7.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bro sa lazima tutukanane na arusha naye sehemu kubwa ya sakina tengeru zina service road wich make it total n 8 ways
nlete intersection pana kama hio ya triple a mwanza io intersection inachukua lane 10 upande wa ngaramtoni lane 4 upande wa kona nairobi na lane 7 upande wa mianzini na izo lane zinaanza 0.5km from the intersection ukipita usiku unavutiwa kama uko korea bro View attachment 1298177

Sent using Jamii Forums mobile app
10 lane!!!! 7 lane!!!!! Hahaha leta picha ndugu...... Hizo traffic lights hata ss zipo za kutosha....
 
10 lane!!!! 7 lane!!!!! Hahaha leta picha ndugu...... Hizo traffic lights hata ss zipo za kutosha....
nimekutumia picha hapo sema haionekani fresh na niko mbeya sa hv boss tatizo sio mataa tatizo n lane ngap zina controliwa normaly lini za kwenye mataa zina panuliwa kwa 50m to 100m ili mpaka nkasema ni 500m izo lane inamaanisha mlisho wa line kwenye intersection ni mkubwa kama hutaki kuamini acha maana unaonekana una ka uspirit cha kushindan sana kuliko ku gundua na kuona vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee kasome nlichoandika au google master plan za hiyo miji mzee utaelewa tuu na mm sijasema arusha n kubwa kwa mwanza ila ukuaji wa arusha n mzuri kuliko mwanza ndio maana nkauliza kwa nn mwanza inafananishwa sana na arusha kuliko mwanza vs tanga au mbeya akati hayo n majiji makongwe kuliko arusha afu pili daraja la furahisha lisikushangaze sana kwa sababu mwanza nzima hamna barabara ya njia nne na yakisasa kama ya sakina tengeru afu izo ghorofa unazosema zinahesabika naomba nletee ghrofa tatu zanye 14+ mwanza zaidi ya hotel ya nsssf mkuu zunguka uone
Mzee kasome nlichoandika au google master plan za hiyo miji mzee utaelewa tuu na mm sijasema arusha n kubwa kwa mwanza ila ukuaji wa arusha n mzuri kuliko mwanza ndio maana nkauliza kwa nn mwanza inafananishwa sana na arusha kuliko mwanza vs tanga au mbeya akati hayo n majiji makongwe kuliko arusha afu pili daraja la furahisha lisikushangaze sana kwa sababu mwanza nzima hamna barabara ya njia nne na yakisasa kama ya sakina tengeru afu izo ghorofa unazosema zinahesabika naomba nletee ghrofa tatu zanye 14+ mwanza zaidi ya hotel ya nsssf mkuu zunguka uone
Unasema?? hamna barabara gani?
 
Nyuzi zilishafunguliwa nyingi mbona...halafu nyie ni waoga wa kuweka picha ila hodari wa kuongea hata uzi wenu wa picha hatuuoni.
muda wa kupoteza kupiga picha unatokea wp sehemu ambayo inajitangaza yenyewe alafu hamnaa uzi mwanza vs arusha nyingi ni za ishu nyingine alafu topic inajiingiza yani kama hapa au kule kwenye kisumu vs mwanza ndio huko ila uzi proper wa hii duel haupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Mji wenye Mlima Meru, mlima wa pili kwa urefu Tanzania baada ya Kilimanjaro, Mji wenye Ngorongoro crater, Mbuga ya Tarangire, Mbuga ya Arusha National Park, Madini pekee Dunia nzima, madini ya Tanzanite...utajiri huu unaupata tena Mkoa gani hapa TZ? sasa sijui ulitarajia nini haswa
Mlima Kilimanjaro - Kilimanjaro
Tanzanite - Manyara
 
Arusha tumekaa sana more 6 yrs ni mji wa majigambo na mbwembwe nyingi zinazofanywa na vibarua wa utalii sanasana lakini wakati katikati ya mji bado kuna watu wanaishi kama mbuzi kama maeneo ya matejo,ungalimi,jaluo street,mianzini,majengo juu na chini yote hovyo.

Hotel ziko ila sio nyingi na wanaozifaidi wengi wao wanatoka nje kama Kenya na wengine wanatoka dar. Wenyeji wengi ni watumikishwaji tu pale mkoa ule

Kinachoung'garisha ule mji ni wangeni. Over!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahiv wanakupata vyema boss
 
Muanzisha uzi huu nataka nimwambie tu kuwa huyo mwenyeji wako na yeye haijui vizuri Arusha,pia inaonyesha ulikuja huna pesa broo coz Arusha ni mji wa matanuzi,zaidi Sana kipindi hichi Cha Corona huwezi ifaidi Arusha Mkuu,siku nyingine ukija usifikie kwa shemeji yako Kaka,kuzaliwa tu Arusha ni tayari Upo form four hata Kama hujaenda shule,

Back
Top Bottom