Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mwanza nayoifahamu Mimi au nyingine? Arusha hata daraja la manzese hamna,gorofa zinahesabika .mji mdogo ndo ulinganishe na mwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa Arusha wanatumia nguvu nyingi kuikuza Arusha wakati hakuna kitu.Binafsi ni nimefika Mwanza mara mbili ,2014 na 2017,wala haikunichukua zaidi ya nusu sa kuelewa Mwanza ni mji mzuri .
 
Mzee kasome nlichoandika au google master plan za hiyo miji mzee utaelewa tuu na mm sijasema arusha n kubwa kwa mwanza ila ukuaji wa arusha n mzuri kuliko mwanza ndio maana nkauliza kwa nn mwanza inafananishwa sana na arusha kuliko mwanza vs tanga au mbeya akati hayo n majiji makongwe kuliko arusha afu pili daraja la furahisha lisikushangaze sana kwa sababu mwanza nzima hamna barabara ya njia nne na yakisasa kama ya sakina tengeru afu izo ghorofa unazosema zinahesabika naomba nletee ghrofa tatu zanye 14+ mwanza zaidi ya hotel ya nsssf mkuu zunguka uone
 
Watu wa Arusha wanatumia nguvu nyingi kuikuza Arusha wakati hakuna kitu.Binafsi ni nimefika Mwanza mara mbili ,2014 na 2017,wala haikunichukua zaidi ya nusu sa kuelewa Mwanza ni mji mzuri .
Hata mm nlifika mbeya sikuka dakika kumi kujua mbeya n mji wenye hali nzury na maisha simple ila ujue hata njombe n kuzuri inategemea na unachokitafuta ila kama uliona mwanza n nzury haimaanishi kila mtu anaona ivo
 
Afu mkuu hebu niambie ulifika arusha sehemu gan afu arusha naweza sema sio overated ila n famous tofauti na ilivo yani coz kila mtu tanzania anaijua arusha tena hii n kutokana na watu wake kuwa proud na kwao tofauti na mwanza ukimuuliza unatokea wp anaanza kujingata ivo watu wachache wa mwanza ndio wanakubali kwa raha
 
Yaani Mkuu The great jay umemaliza kabisaaaa! umeongea ukweli mtupu.Mimi home ni Arusha, Mianzini ila tu niko huku Dar kikazi.Lakini my favourite City ni Arusha jiji ambalo kwanza haliko congested kama Dar, on top of that weather iko friendly kwa kila mtu.Namshangaa sana huyo aliyesema Mianzini ni ovyo,aingie ndani ndani huko migombani aone vitu vilivyooteshwa ndio atajua Mianzini si mchezo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa sijui amefika mianzini ipi afu anasema eti ni pa maskini
 
Mm kwa mtazamo sa hv niko mbeya ila naishi arusha na dar ila kwa aspect ya maisha na need za binadamu mbeya ni kuzuri mnooo huku hata jero unakula na unashiba ila ukija kwenye aspect ya uzuri muonekano na kula bata inaanza dar then arusha huo ndio ukweli mpaka ufe afu watu hamjajua kinachoendelea ukisoma kwenye mwanza2035 na arusha2035 arusha ndio itakayokuwa kubwa kwa 627 km ² while mwanza ita remain 467 km ² kwa io hata wanaoplan miji nao wameshaona arusha inakua kwa kiasi gani na kingine barabara nzuri after dar n arusha kwa io ulivosema sijui barabara n za kishamba sijui unamaanisha nn alafu arusha vijana wenye hela n wengi kuliko wazee na ujue watu wenye pesa hawaishi hapo mjini nenda ilikidinga uko ilboru utakuta mijengo ya kuishi ndio utajua arusha kama kuna umasikini mkubwa au mdogo ila pia kuna sehemu nyingi ambazo hazijapangika kama majengo ungalimi na baadhi ya ngarenaro kwa io ukisema arusha iko overated utanishangaza japo kuna sifa inapewa na haina ila haimanishi iko overrated alafu msipaniki tanga mbeya zilikuwa majiji 2005 arusha juzi tu 2012 lakini sa hz inashindanisha na mwanza ya 2000 maana yake n kwamba similary n nyingi ila kwa moshi na arusha moshi kuzuri kwa kuishi japo hapajachangamka na mm n mchaga og
Nawasilisha tuu
Wewe jamaa unaongea nin ? Arusha inakua faster kuzid Mwanza...?? hayo makadirio ya master plan yasikutishe make hata njombe wanaweza wka master plan kubwa kuzidi Mbeya but in reality Jombe haizidi Mbeya ...Geographicaly Mwanza ipo speed ya 4G kuzid Arusha....Arusha ilikuwa inakua sana Economically kuliko Mwanza but nowdays Mwanza inakua pia kiuchumi zaid ya Arusha ndo mana hata makusanyo ya kodi ya jiji la mwanza yanazid ya Arusha.....Ukichukulia kimkoa Arusha ndo inaizidi Mwanza lakini about city...Arusha ikasome....ndo mana hata Hotel za nyota tano hazipo Arusha mjin zipo porini huko....na pia mji wa Arusha hauna barabara nyingi kuzidi mji wa Mwanza....kinachowapa kiburi sa hv ni hyo 4lane mpya inayokatiza mjin kati.....Mwanza 4lane ipo from city center to airport, 3lane kutoka kat kat ya mji mpak nyakato na sa hv mchakato unaanza wa 4lane kutoka katkat ya mji mpak Busisi huko kupitia Buhongwa.....Mwanza ina stand mbili kubwa tu na zote zinatakiwa zitoke nje ya mji ili kuendana na speed ya ukuaji wa mji...Arusha ipo moja tena outdated...
 
Mkuu shida ako unasoma bila kuolewa tokea kule kwenye mbeya vs arusha cha kwanza kwa makusanyo ya majiji kasome tamisemi arusha ndio inaongoza mwaka jana ilikusanya 10+ bil na mwaka huu ndio inaongoza kwa asilmia na dodoma inaongoza kwa kiasi cha pesa na kingine nkupe taarifa arusha ina 4 lane ina 14+km na bado inaongezwa kutoka tengeru mpaka usa 8+ km mradi utafaziliwa na jica ya japan na bado ukitoka sanawari mpaka voda shop km 4 n 4 ways na sokoine road km 10 kutoka kisongo zinampango wa kupanuliwa na kuhusu stend arusha nayo inataka kujenga stendi mbili kubwa ya moshono na olasiti kwa io mkuu arusha inakuwa mnoo na ndio maaña nkasema mwanza na arusha bado zinagrow kwa tz dar ndio inatambulika kimataifa ila ukienda kenya kuna nairobi na mombasa so bado arusha na mwanza bado zinaitaji reform kubwa ili kuweza kuwa majiji yenye hazi duniani na africa pia ukunbuke arusha n famous nje ya nchi kuliko mwanza
 
Wewe jamaa unaongea nin ? Arusha inakua faster kuzid Mwanza...?? hayo makadirio ya master plan yasikutishe make hata njombe wanaweza wka master plan kubwa kuzidi Mbeya but in reality Jombe haizidi Mbeya ...Geographicaly Mwanza ipo speed ya 4G kuzid Arusha....Arusha ilikuwa inakua sana Economically kuliko Mwanza but nowdays Mwanza inakua pia kiuchumi zaid ya Arusha ndo mana hata makusanyo ya kodi ya jiji la mwanza yanazid ya Arusha.....Ukichukulia kimkoa Arusha ndo inaizidi Mwanza lakini about city...Arusha ikasome....ndo mana hata Hotel za nyota tano hazipo Arusha mjin zipo porini huko....na pia mji wa Arusha hauna barabara nyingi kuzidi mji wa Mwanza....kinachowapa kiburi sa hv ni hyo 4lane mpya inayokatiza mjin kati.....Mwanza 4lane ipo from city center to airport, 3lane kutoka kat kat ya mji mpak nyakato na sa hv mchakato unaanza wa 4lane kutoka katkat ya mji mpak Busisi huko kupitia Buhongwa.....Mwanza ina stand mbili kubwa tu na zote zinatakiwa zitoke nje ya mji ili kuendana na speed ya ukuaji wa mji...Arusha ipo moja tena outdated...

Ni kweli kabisa, Arusha level yake ni Mbeya na Tanga.
 
Back
Top Bottom