Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Arusha tumekaa sana more 6 yrs ni mji wa majigambo na mbwembwe nyingi zinazofanywa na vibarua wa utalii sanasana lakini wakati katikati ya mji bado kuna watu wanaishi kama mbuzi kama maeneo ya matejo,ungalimi,jaluo street,mianzini,majengo juu na chini yote hovyo.

Hotel ziko ila sio nyingi na wanaozifaidi wengi wao wanatoka nje kama Kenya na wengine wanatoka dar. Wenyeji wengi ni watumikishwaji tu pale mkoa ule

Kinachoung'garisha ule mji ni wangeni. Over!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu sijui nkuambiaje coz mm nnakaa miazini na sijui hayo maihsa ya chini unayosemea n wapi afu apo sijui wakenya na na watu wa dar sikufichi umeyumba coz hata watu wa mara serengeti walimlilia magufuli kwamba watu wa arusha ndio wanafaidi vivutio afu usiwe unalisha matango pori or majengo huko majengo unajua iko upande gani kwa sababu apa tu mianzin majirani zangu wote kwanzia msele mpaka kwa muhando wote wana ndinga zaidi ya moja sasa apo sijajiweka na mm
 
Mm kwa mtazamo sa hv niko mbeya ila naishi arusha na dar ila kwa aspect ya maisha na need za binadamu mbeya ni kuzuri mnooo huku hata jero unakula na unashiba ila ukija kwenye aspect ya uzuri muonekano na kula bata inaanza dar then arusha huo ndio ukweli mpaka ufe afu watu hamjajua kinachoendelea ukisoma kwenye mwanza2035 na arusha2035 arusha ndio itakayokuwa kubwa kwa 627 km ² while mwanza ita remain 467 km ² kwa io hata wanaoplan miji nao wameshaona arusha inakua kwa kiasi gani na kingine barabara nzuri after dar n arusha kwa io ulivosema sijui barabara n za kishamba sijui unamaanisha nn alafu arusha vijana wenye hela n wengi kuliko wazee na ujue watu wenye pesa hawaishi hapo mjini nenda ilikidinga uko ilboru utakuta mijengo ya kuishi ndio utajua arusha kama kuna umasikini mkubwa au mdogo ila pia kuna sehemu nyingi ambazo hazijapangika kama majengo ungalimi na baadhi ya ngarenaro kwa io ukisema arusha iko overated utanishangaza japo kuna sifa inapewa na haina ila haimanishi iko overrated alafu msipaniki tanga mbeya zilikuwa majiji 2005 arusha juzi tu 2012 lakini sa hz inashindanisha na mwanza ya 2000 maana yake n kwamba similary n nyingi ila kwa moshi na arusha moshi kuzuri kwa kuishi japo hapajachangamka na mm n mchaga og
Nawasilisha tuu
 
Tofauti ya Arusha na Majiji mengine ni kwamba wenye mikwanja mirefu ni vijana kati ya 25 na 40 yrs kwa sababu ya mgodi wa tanzanite na biashara ya utalii. Dar na Mwz mkwanja mrefu unamilikiwa na wazee. Ukibahatisha kijana basi ni unga/msanii au mkwanja wa urithi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina upendeleo wowote lakini hilo swala la umri kuhusu Mwanza utakuwa umedanganya. Unajua pia kuna migodi inayoizunguka Mwanza? Uvuvi pia una mchango mkubwa sana kwa ukuaji wa Mji wa Mwanza huko kote kuna maelfu ya Vijana. Na hapa kwenye uvuvi usichukulie poa, zile boats unazoziona majini zinaingiza maelfu ya shilingi

Arusha ni mji mzuri kama Mwanza. Tofauti ni kuwa Arusha wakazi wake wako so proud na mji wao wakati kwa Mwanza kwa asili Watu wake si wasemaji sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja arusha imekua overrated sana nmekaa Kaloleni, Njiro na makao mapya. nmetembea karibu sehemu zote muhimu Arusha ila naona mji tuu wa kawaida pamoja na kua na advantage ya tourist capital ila nothing special.

hata hizo nightclub/ bars majina makubwa cjui Shivazi afu kawaida sana. Nakumati ndo mall kubwa yao. stand ata korogwe pazuri

Moshi ni amazing napenda nature ya moshi evergreen sana.

Kwa tuliozoea life ya Dar Arusha is garbage

😂😂😂😂😂😂😂 bro emu nieleze shivaz ikone coz i think hujakaa arusha ww ulifika na kuondoka afu kaloleni n maeneo ya makazi ulitaka uone nn na pili nakumat hata haikogo arusha pole aisee sa hv iko shoppers na mall kubwa hata sio hiyo iko huku majengo inaitwa aim mall na kuna sakina mall inajengwa bado plus na ss tuliokaa arusha tukija dar naona pa kawaida mno joto tuu na kwa kukuelekeza m nakaa dar buza kwa osama arusha n very cool na club za arusha kwa dar bado quality n ile ile na bar za mtaani quality n ile ile so nothing to surprise
 
Sina upendeleo wowote lakini hilo swala la umri kuhusu Mwanza utakuwa umedanganya. Unajua pia kuna migodi inayoizunguka Mwanza? Uvuvi pia una mchango mkubwa sana kwa ukuaji wa Mji wa Mwanza huko kote kuna maelfu ya Vijana. Na hapa kwenye uvuvi usichukulie poa, zile boats unazoziona majini zinaingiza maelfu ya shilingi

Arusha ni mji mzuri kama Mwanza. Tofauti ni kuwa Arusha wakazi wake wako so proud na mji wao wakati kwa Mwanza kwa asili Watu wake si wasemaji sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue hata arusha kuna uvuvi tena advanced kwa sababu tunabana maeneo tunavua hadi bwawa la mavi na kwenye mito ujue ila nimekubalia na point yako mwanzana arusha ni same level zote bado ni growing cities dar ndio imeshakuwa na inatambulika kimataifa ila arusha na mwanza bado zinakuwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro emu nieleze shivaz ikone coz i think hujakaa arusha ww ulifika na kuondoka afu kaloleni n maeneo ya makazi ulitaka uone nn na pili nakumat hata haikogo arusha pole aisee sa hv iko shoppers na mall kubwa hata sio hiyo iko huku majengo inaitwa aim mall na kuna sakina mall inajengwa bado plus na ss tuliokaa arusha tukija dar naona pa kawaida mno joto tuu na kwa kukuelekeza m nakaa dar buza kwa osama arusha n very cool na club za arusha kwa dar bado quality n ile ile na bar za mtaani quality n ile ile so nothing to surprise
Bro kwa update tu New shivaz 2003 imefunguliwa maeneo karibu na pickinic nyuma ya hili jengo la Nssf lina bango la teckno karibu na stand ndogo. hio shopperz plaza ya pale wanapaita Nakumatt utaringanisha na quality center au Mliman city mall au shopperz za Dar kuna ka super market kamoja kadogo tu na maduka ya Mpesa kibao.

tatizo ukiwa hujafika ukisikia promo ya Arusha na jinsi kulivyo ni vitu viwili tofauti. hatujasema mji mbaya ila ni overrated

naongea ukweli huwezi linganish shopping center yoyote tanzania na mlimani ila quality center hata aim mall n nzury na shopperz n ndogo coz jengo n la kitambo na pia sijui kama. Unajua mwaka uliopita shivaz ilibomolewaga ikajengwa upya na juzi ndio imezinduliwa afu mm siwezi fananisha dar na arusha kamwe ila arusha it beautiful ni pale mjini ndio pakishamba na nikutokana na msongamano wa watu ila na ww nkupe challenge kaka dar nzima kuna sehemu unaweza fananisha na themi living garden
 
Mm kwa mtazamo sa hv niko mbeya ila naishi arusha na dar ila kwa aspect ya maisha na need za binadamu mbeya ni kuzuri mnooo huku hata jero unakula na unashiba ila ukija kwenye aspect ya uzuri muonekano na kula bata inaanza dar then arusha huo ndio ukweli mpaka ufe afu watu hamjajua kinachoendelea ukisoma kwenye mwanza2035 na arusha2035 arusha ndio itakayokuwa kubwa kwa 627 km ² while mwanza ita remain 467 km ² kwa io hata wanaoplan miji nao wameshaona arusha inakua kwa kiasi gani na kingine barabara nzuri after dar n arusha kwa io ulivosema sijui barabara n za kishamba sijui unamaanisha nn alafu arusha vijana wenye hela n wengi kuliko wazee na ujue watu wenye pesa hawaishi hapo mjini nenda ilikidinga uko ilboru utakuta mijengo ya kuishi ndio utajua arusha kama kuna umasikini mkubwa au mdogo ila pia kuna sehemu nyingi ambazo hazijapangika kama majengo ungalimi na baadhi ya ngarenaro kwa io ukisema arusha iko overated utanishangaza japo kuna sifa inapewa na haina ila haimanishi iko overrated alafu msipaniki tanga mbeya zilikuwa majiji 2005 arusha juzi tu 2012 lakini sa hz inashindanisha na mwanza ya 2000 maana yake n kwamba similary n nyingi ila kwa moshi na arusha moshi kuzuri kwa kuishi japo hapajachangamka na mm n mchaga og
Nawasilisha tuu
Unauma na kupuliza
 
Yaani Mkuu The great jay umemaliza kabisaaaa! umeongea ukweli mtupu.Mimi home ni Arusha, Mianzini ila tu niko huku Dar kikazi.Lakini my favourite City ni Arusha jiji ambalo kwanza haliko congested kama Dar, on top of that weather iko friendly kwa kila mtu.Namshangaa sana huyo aliyesema Mianzini ni ovyo,aingie ndani ndani huko migombani aone vitu vilivyooteshwa ndio atajua Mianzini si mchezo!

Labda miaka 10 ijayo
 
Mm kwa mtazamo sa hv niko mbeya ila naishi arusha na dar ila kwa aspect ya maisha na need za binadamu mbeya ni kuzuri mnooo huku hata jero unakula na unashiba ila ukija kwenye aspect ya uzuri muonekano na kula bata inaanza dar then arusha huo ndio ukweli mpaka ufe afu watu hamjajua kinachoendelea ukisoma kwenye mwanza2035 na arusha2035 arusha ndio itakayokuwa kubwa kwa 627 km ² while mwanza ita remain 467 km ² kwa io hata wanaoplan miji nao wameshaona arusha inakua kwa kiasi gani na kingine barabara nzuri after dar n arusha kwa io ulivosema sijui barabara n za kishamba sijui unamaanisha nn alafu arusha vijana wenye hela n wengi kuliko wazee na ujue watu wenye pesa hawaishi hapo mjini nenda ilikidinga uko ilboru utakuta mijengo ya kuishi ndio utajua arusha kama kuna umasikini mkubwa au mdogo ila pia kuna sehemu nyingi ambazo hazijapangika kama majengo ungalimi na baadhi ya ngarenaro kwa io ukisema arusha iko overated utanishangaza japo kuna sifa inapewa na haina ila haimanishi iko overrated alafu msipaniki tanga mbeya zilikuwa majiji 2005 arusha juzi tu 2012 lakini sa hz inashindanisha na mwanza ya 2000 maana yake n kwamba similary n nyingi ila kwa moshi na arusha moshi kuzuri kwa kuishi japo hapajachangamka na mm n mchaga og
Nawasilisha tuu
Mwanza nayoifahamu Mimi au nyingine? Arusha hata daraja la manzese hamna,gorofa zinahesabika .mji mdogo ndo ulinganishe na mwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom