Usijitoe akili wewe.
Unakumbuka Pinda alivyolazimishwa na bunge amfukuze katibu wa nishati na madini alisemaje? Kumbuka vizuri pinda alichowajibu wabunge.
Serikali wewe iache tu kama ilivyo ndio maana madudu mengi sana
Mtu anataja tu Elimu,ila hasemi ni njia zipi atatumia ili kuimarisha Elimu na hatimae Elimu imkomboe Mtanzania.Eti kipau mbele cha jamaa kitakuwa elimu huo uongo wa mchana kweupe.Ni elimu mbovu ndiyo inayowafanya mpaka leo mheshimike sasa kweli unaweza elimisha watu watambue janja yenu?.
Kama unamwamin lowasa bas utakuwa mwehu
Hayo ni maswali ya msingi. Haijalishi yameulizwa na mzungu au mwafrika. Watanzania tunasahau haraka sana, tunaangalia sura na sio sera!
Maswali ya msingi, was he charged? Was he cleared? We are such myopic citizens!!!
Kama utaki habari za wazungu mbona kuanzia nguo za ndani unavaa nguo za kutoka nchi zao, mbona sasa mnategemea misaada yao?
Who's that Mzungu kwa nchi yetu na kwako hadi uanzishe thread kabisa? So kwa kuwa kasema Mzungu ndo tuamini sio?
Ficha upuuzi wako,unalivunjia had hi jukwaa la magreat thinkers bhanaMtoa mada eti anasema ana elmu ya chuo kikuu! halafu hajui kutofautisha kati ya mjeruman na mzungu,elimu....mzungu ni mtu hashga kutoka uingereza na maracphache u.s.a.kesho utakuja na hoja ya mchina kisa mweupe naye utamwita mzungu!
Tunazungumzia maisha ya watanzania unakuja tuletea habari za wazungu??who is Mzungu?
Yani wewe jamaa sasa una tofauti gani na K ya kitimoto?
Au ngeliless? Mjerumani kwanza hajui kingereza yeye anaongea kijerumani kwa hio english yake ni ya kuunga unga.
Wewe anakuuliza maswali sio kwamba hujui ila unasema tu i dont know kuepuka kutoa maelezo.
-umesababisha watz waonekane viazi mbelw ya mzungu wako.
-ina maana hujui kuwa Obama na Mke wa Clinton walienda ubungo kufanya nini?
-hujui kuwa Lowasa alihusishwa indirect na ule mkataba ila waliohusika ni makatibu wakuu wa mawizara?
:ungemjibu hata kwa kiswahili basi badala ya kuongea neno moja tu i dont know i dont know!
Pole.
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.
Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.
Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.
criteria ya vijisenti ndo maana watu wanamsupport.Yaani watanzaniani watu wa kuridhika sana,yaani laki tatu mtuakipewa yaani anaridhika kabisa