Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Mkinga anakamua anasema Mkulo amesema hawezi kulipa watalipa Nishati,acha hii kesi irudi bungeni .Kwa nini TAKUKURU haiingilii kati swala hili

Saa nyingine watanzania tunaonekana au ni wapumbavu. Wajinga huwa wanaelimishwa, mpumbavu huwa anaachwa (maneno ya Mwalimu Nyerere). Kama Wizara ya Fedha hailipi, waziri wake anasema watalipa Wizara ya Nishati nafuu iko wapi? Au kunatofauti gani kama yeyote kati ya hizo Wizara mbili zitalipa? Au moja ni ya Kenya nyingine ya Tanzania??

Wasitufanye mabegwe, kabla hiyo hela haijalipwa ni lazima watoe maelezo ya kina. Tujue tumedaiwa nini, kwa nini, tunamlipa nani, wapi, n.k.

Hao Dowans waje waende mahakamani wakafile hiyo award yao. Si lazima ifailiwe mahakamani? Atakayekuja kufile si atasema aliyemtuma kufile? Atakayewawakilisha mahakamani lazima sheria hii itumike

1. Appearances, etc., may be in person, by recognised agent or by advocate G.N. No. 376 of 1968

Any appearance, application or act in or to any court, required or authorised by law to be made or done by a party in such court may, except where otherwise expressly provided by any law for the time being in force, be made or done by the party in person or by his recognised agent or by an advocate duly appointed to act on his behalf or, where the Attorney-General is a party, by a public officer duly authorised by him in that behalf:

Provided that any such appearance shall, if the court so directs, be made by the party in person.

2. Recognised agents G.N. No. 140 of 1999

The recognised agents of parties by whom such appearances, applications and acts may be made or done are–

(a) persons holding powers-of-attorney, authorising them to make appearances or applications and to do such acts on behalf of such parties;

(b) persons carrying on trade or business for and in the names of parties not resident within the local limits of the jurisdiction of the court within which limits the appearance, application or act is made or done, in matters connected with such trade or business only, where no other agent is expressly authorised to make and do such appearances, applications and acts.


4. Advocate to produce written authority when required

The court may require any advocate claiming to act on behalf of any party who has not appeared in person or by his recognised agent to produce, within such time as may be reasonable, a written authority signed by such party or his recognised agent authorising the advocate to act on behalf of such party.

Kwa hiyo kama wanawakili wao akachakachue written authority ya waliomtuma na tutahoji wamemtuma wao wako wapi!!

Naamini kwamba zoezi la kuwalipa si rahisi kama wanavyoamini. Hatupingi maamuzi ya ICC tunawapinga wanaojidai Dowans. Kwa ICC issue ya nani anamiliki Dowans haikuwa na msingi, kwetu ni ya msingi sana. Serikali itueleze kwa undani. Je, haowakurugenzi ndio watu pekee waliokutana nao wakati wa kusaini mkataba? Na kwanini Ngeleja amesubiri muda wote mpaka januari 2011 ndio anaandika barua kwa Msajili wa Makampuni kuulizia wamiliki wa Dowans? Siku zote hakuona umuhimu hu mpaka kesi imeisha ndio anaulizia? Na kama alikuwa hajui ilikuwaje TAESCO ika-raise hiyo issue huko ICC????

Watanzania tusimame imara tupiganie haki ya watoto na wajukuu zetu! Hima jitkeze upaze sauti kupinga udhalimu na wizi!!
 
Haaaa wadau ,majaji wote wa ICC waliotoa TUZO kwa DOWANS walikaa MOVEN PICK NA kutoa Tuzo HII JAMANI TUNALIWA


ANGALIA ITV UPATE UKWELI

Son of soil!!! Issue siyo kukaa Moven pick, suala ni substance ya kile kilichoamriwa. Kukaa moven pick ni fact lakini si fact in issue. Tusishabikie siasa, tuangalie na tujadili jinsi ya kujinasua na mkuki uliopo mbele yetu
 
KAMA UMEANGALIA ITV, MKINGA ANATOJA MAJINA YA WATU BILA YA KUWA NA EVIDENCE
je kwanini ITV wanamualika MKinga mchochezi? kwanini anawachonganisha viongozi na wananchi?
 
Nika click itv jamaa wanasema channel is locked,input information.sasa mkuu embu nielekeze kama naweza kulipa kwa visa card ya currency ambayo si euro,kisha hizo infos naziingizaje...

unaweza kulipia kupitia paypal! kama huna basi jiandikishe iko poa sana!
 
Siwakosoi sana washiriki wa mjadala wa Dowans, ITV lakini nadhani kinachojadiliwa ni Sheria dhidi ya siasa. Tukiongelea mambo mazito kama haya ya Dowans ni vema tukachukua watu makini ambao watatupa somo lenye mashiko na siyo watu wenye jazba na wanaoongea siasa zaidi

mkuu ... kwani viongozi.., wawakilishi na watawala wa nchi hii tunawapata kwa kutumia channel ipi.... wacha kukurupuka.... nini hushika hatamu ya uongozi.....

your contribution is typical inexperienced ......
 
God have mercy on us!

Kweli waTZ tumeshaonekana mazuzu. Nimegundua Kikwete si Zuzu kama tunavyofikiria. Yeye keshatuona sisi ndio mazuzu, na anajua hatuwezi kufanya lolote
 
bonge la mjadala aisee nilikua natamani usiishe.. kama umesikiliza vizuri utaona jinsi hawa jamaa wanavyotupiga vidole yani ni ungese mtupu

hivi tanesco hawakupewa memo wazime umeme?
 
jamani naomba msaada ndungu mkinga kaongelia about ANNA MAKINGA (SPEAKER) kuwa yuko connected POKET (sijui kama nimepatia) hii ni ile company aliyosema ngeleja kuwa ina HISA DOWANS. HAPA ZIJAPATA POINT,

Nimeconnect dot za mkinnga kuwa ANNA MAKINDA KAWEKWA NA MAFISADI

Amesema shemeji yake ANNA MAKINDA anayeishi COSTA RICA NDIE ALIYEWAPOKEA KINA MWAKYEMBE huko Costa Rica na kuwatembeza kwenye ofisi za huko zote kuanzia kwa msajili wa makampuni mpaka wizara zote na hakuna mahali Richmond ilisajiliwa huko COSTA RICA
 
Acha hizo wewe mchonganishi kivipi mtu anaongea ukweli una mwita mchonganishi!.Ushindwe na ulegee!.
 
@JEYKEYWAUKWELI - Sio uchochezi, ni uhuru wa kutoa maoni ambao umetajwa pia ndani ya Katiba ya nchi. I hope unajua kwamba kuna Katiba ya Nchi.
 
Nilkuwa na tazama mjadala wa Chadema kuhusu Dowans, hakuna lolote, pumba tupu, highly biased and highly contradictory. Wanabwabwaja bila mpango.
 
KAMA UMEANGALIA ITV, MKINGA ANATOJA MAJINA YA WATU BILA YA KUWA NA EVIDENCE
je kwanini ITV wanamualika MKinga mchochezi? kwanini anawachonganisha viongozi na wananchi?

Evidence zipo. Amewachonganishaje viongozi? Kwa kuwaita wezi wezi? Watanzania wameshaamka.
 
Kama ni uchochezi tusubiri kuona akiburuzwa mahakamani!
 
Amesema shemeji yake ANNA MAKINDA anayeishi COSTA RICA NDIE ALIYEWAPOKEA KINA MWAKYEMBE huko Costa Rica na kuwatembeza kwenye ofisi za huko zote kuanzia kwa msajili wa makampuni mpaka wizara zote na hakuna mahali Richmond ilisajiliwa huko COSTA RICA

Kwani Richmond kampuni ya Costa Rica? mijitu mingine huwa inajisemea tu, hata haina mpango wala haijuwi inaongea nini.
 
jamani sijui nnchi inaenda wapi hizi tamaa zitaisha lini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom