Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

naona wazee wanavyotoka jasho lkn sauti hakuna, ushauri zaidi ya hiyo link ya januali mkwele
 
NI HIVI KESI YA DOWANS V TANESCO ILIFANYIKA MOVEN PICK OHIO DSM NA SIO pARIS NA MTU ALIYEKUWA NAFINANCE ACCOMODATION NA FULL BOARD YA MAJAJI NI ROSTAM AZIZI,JAKAYA KIKWETE,EDWARD LOWASA,ANDREW CHENGE NA KARAMAGI
 
du hii kali jamani haya yanawezekana bongo tu china wananyongwa tu
 
Nitaipata wapi jamani angalau niisikie? Tupeni mtililiko basi wa mjadala? Mlio hapo BONGO
 
WABUNGE WETU WAKAtAE MKATABA WA SHANGAAAAAAA,WAAMKE NA WATUTETEE,HOSEA HAJACHUKUA HATUA,MANUMBA,MWEMA HAWAJACHUKUA HATUA YOYOTE DHIDI YA MAFISADI,WEWE MTANZANIA UMEFANYA NINI???????
 
Tuwashukuru ITV pia tunawaomba waendelee hivi hivi wasiwe kama wale wapuuzi wa TBC wanaochezea kodi zetu huku hawaonyeshi yale ya manufaa kwa wavuja jasho wa nchi hii.
 
Siwakosoi sana washiriki wa mjadala wa Dowans, ITV lakini nadhani kinachojadiliwa ni Sheria dhidi ya siasa. Tukiongelea mambo mazito kama haya ya Dowans ni vema tukachukua watu makini ambao watatupa somo lenye mashiko na siyo watu wenye jazba na wanaoongea siasa zaidi
 
Renatus Mkinga anatisha kwa data na uhamasishaji. Kama leo wananchi wanaangalia wote huu mjadala kesho kutakuwa na maandamano nchi nzima
 
Mkinga namaliza kwa kauli kali anasema NENO USIOGOPE LIMEANDIKWA MARA 350 KWENYE BIBLIA ,KIKWETE NA SERIKALI YAKE WASIOGOPE WAWATOE MAFISADI NA KUWACHUKULIE HATUA.KIKWETE ATAENDA JEHANAMU AKIENDELEA KUOGOPA MAFISADI

NAHISI ANAFAIDIKA AU MNAONAJE WADAU?????????
 
tv africa

unalipa 5 euro/mwezi, Unaweza ukaona channel 5 na Itv za bongo live, iko poa ki-aina!

Nika click itv jamaa wanasema channel is locked,input information.sasa mkuu embu nielekeze kama naweza kulipa kwa visa card ya currency ambayo si euro,kisha hizo infos naziingizaje...
 
jamani naomba msaada ndungu mkinga kaongelia about ANNA MAKINGA (SPEAKER) kuwa yuko connected POKET (sijui kama nimepatia) hii ni ile company aliyosema ngeleja kuwa ina HISA DOWANS. HAPA ZIJAPATA POINT,

Nimeconnect dot za mkinnga kuwa ANNA MAKINDA KAWEKWA NA MAFISADI
 
KiBAMBA ANASEMA KATIBA BADO INA MATATIZO MAKUBWA.TANZANIA IACHE UTANI KWENYE UWEKEZAJI MJADALA WOTE HUU NI WA MEGAWATI 100 TUUU HUU NI UTANI.ETHIOPIA WANA MEGAWATI 1000 ZA ZIADA NA HAWAJUI WAMPE NANI HAPA KWETU MEGAWAT 100 ZIMELETA YOTE HAYA?????
 
Mkinga, anaulizia wako wapi Usalama wa taifa! Viongozi wamuogope Mungu, wasipomuogopa Mungu watalipa kero tunazozipata hivi sasa
 
RWEgEMEZA ANAMALIZA KWA KUSEMA MIKATABA YOTE IPELEKWE BUNGENI IJADILIWE KWANZA KABLA YA KUSIGNIWA.WANANCHI LAZIMA WAANGALIE NCHI YAO TUNAELEKEA WAPI NA KAMA WATAWALA WAMESHINDWA TUCHUKUE HATUA ZINAZOSTAHILI,KAULI YA JANA YA CHAGONJA YAKUSUBIRI MPAKA 2015 SIO SAWA.MAHAKAMA ZITOE HAKI ZIACHE UTZHSI WA KISIASA.

TUMEFIKA HAPA TULIPO KWA SABABU YA MIKATABA YA SHANGAAAAAA...
 
Nika click itv jamaa wanasema channel is locked,input information.sasa mkuu embu nielekeze kama naweza kulipa kwa visa card ya currency ambayo si euro,kisha hizo infos naziingizaje...
Ndio, unaweza kulipa kwa visa kwa kutumia paypal. Lakini kwa leo umechelewa kwa sababu mjadala ndio unafungwa hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom