Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

usikate tamaa jaribu tena.

ngumu sana haipatikani from us ila jamaa wa uk wanapata kirahisi sijui kwa nini kina mtawala na simba mkuu hawapigi au wamelala sa hizi nini????????mbona huyo regemereza naleta story hapo anaanza kuboa sasa?
 
jamani leo mnaelekezana namna ya kupiga simu? tuleteeni mtiririko wa mjadala jamani wenzenu hatupati TV hata hizo za online jamani, please. nasikia mwili unanisisimka hapa kwa hasira na hawa viongowezi wetu
 
mjadala bado unaendelea natamani usiishe,jamaa anakamua anasema iko siku silaha za majeshi hazitatosha wananchi wakiamua watakuwa wameamua

Iko siku? Hiyo siku tayari imeshafika!! Biashara kuongelea wakati ujao ndio inatuponza. Hawa wanaokula nchi wanaendelea kula wakiamini kwamba tunapiga story na hiyo siku haitafika au ikifika wameshamaliza nchi. Tufanye uamuzi sasa. Tugome mpaka waliotajwa wote wajiuzulu. Ngoja nizungumze na wazee nchi iingie barabarani kwa amani wiki nzima!!
 
Mkinga anaongea namwambia CHUWA tulia kwanza,hapa Tanzania ukiweza kuiba unaiba tuu na hakuna kitu,JK ametoa ahadi 78 za trilion 200 atatimiza vipi???????
 
Hivi siwezi kuona tv za bongo(hasa hiyo itv) online?mwenye link hata ya kulipia anipe tafadhali manake hiyo ya makamba haifunguki
 
Mkinga anakamua anasema Mkulo amesema hawezi kulipa watalipa Nishati,acha hii kesi irudi bungeni .Kwa nini TAKUKURU haiingilii kati swala hili
 
Mdogo wake mnyika anaongea sasa,anajitahidi ila hana comfidnce sijui kama anaweza kuwa mwanasiasa
 
Mijadala kama hii ndo tunayohiitaji wananchi. Ukweli hadharani. Kwakweli watanzania tunanyonywa sana. Muda umefika sasa, tusimame pamoja kupigania maslahi ya wananchi wote na si maslahi ya wala nchi. Kweli inauma sana.
 
Naona anamrusha RAFIKI YAKE DAVID KAFULILA ,NAONA KAMA ANAPOTEZA MUDA ANGEMWACHIA KIBAMBA ,MKINGA NA RWEGEMEZA WAKAMUE
 
jamani leo mnaelekezana namna ya kupiga simu? tuleteeni mtiririko wa mjadala jamani wenzenu hatupati TV hata hizo za online jamani, please. nasikia mwili unanisisimka hapa kwa hasira na hawa viongowezi wetu

Mkinga: kuna siku wananchi watawafuata mafisadi majumbani mwao kuwapiga, maana wamechoka! Kuna ombwe kubwa la uongozi... Kila mwananchi amfuate Mbunge wake amweleze hatutaki kulipa Dowans, na suala hili lirudi Bungeni!
 
Huyu jamaa Mkinga ni kiboko haumi maneno anataja vitu bila kuwa kuogopa tunahitaji watu zaidi design yake big up sana mkinga na wote walio itv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom