ITV wameahirisha mjadala wa Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV wameahirisha mjadala wa Dowans

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jayfour, Feb 22, 2011.

 1. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo usiku huu itv ilikuwa waendeshe kipindi ambacho kingejadili mambo ya Dowans lkn kupitia taarifa ya habari saa mbili wamefuta kipndi hicho kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao..
  Meanwhile kesho BBC swahili itafanya mjadala kuhusu MABOMU YA G/MBOTO.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mbivu na mbichi zitajulikana tu hata wakifuta mjadala kwenye runinga
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mbona hizo sababu zilizo nje ya uwezo wao hawaziweki wazi?
   
 4. k

  kabindi JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hakuna saababu ya mjadala maana kila kila kitu kinaeleweka! DOWANS ni ya Rostam na Wasanii wengine ndani ya ccm!
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Sitashangaa nikisikia kuwa wamezuiliwa na serikali!
   
Loading...