Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Hebu nipeni darasa wandugu,nipo nje ya nchi muda kidogo,na mambo ya siasa nimenza kufuatilia mwaka jana, huyu bw.mkinga ndio nani? na yupo chama gani?
 
Uwiiiii Lowassa katajwa .......huu mjadala babu kubwa...........Moven Peak imegeuka Paris!!!!

Nimeshtuka ajabu,kumbe mahakama inaweza kuwa huko Paris lakini kesi ikasikilizwa hapa Dar na maamuzi ya kesi yakafanyika Moven Peak,so kule ni majengo tu????au kesi yenyewe haikuwepo???mbona sielewi.......................nimesikia tena wale wamiliki wote ni marehemu????:car::car::car::ban:
 
Makubwa!!! Wageni wa CCM wakarimiwe kwenye hoteli za kifahari nchini kwetu hapa hapa na bado wenye dili zao kutegemea wanachi tuwe tumetendewa haki hapo.

Huu uwezo wa kuubeba Mahakama ya Kimataifa hadi chumbani kwao CCM kuwaamulia namna ya kutupora kodi zetu ilikua ni kwa maslahi ya nani?
 
Hili suala la Dowans naona litaondoka na watu, hali ni mbaya watu wamechoka sana na hili. JK jitokeze kulisemea hili vinginevyo upo katikan wakati mgumu sana. UWT mshaurini vizuri JK hatari iliyopo mbele yake.
 
Jamaa wanataka JK eti agome kulipa dowans!!! Hii imekaaje? Waziri mwenye hiyo dhamana anaemuwakilisha rais kashakubali tulipe!!??
 
JAMAA ANASEMA YULE JAJI MMOJA NI MLA RUSHWAA MKUUU WA uganda aisee HUU MPANGO WA ROSTAM UMEGONGA MWAMBA
 
ni mda wa wananchi kuwajibika kumtoa mdosi madarakani na kuwaadabisha wote waliohusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom