Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Rostm,karamagi,msabaha na chenge wamerushwa ndio wamiliki wa dowans hii ikoje wadau?????????
 
I hate Rostam Aziy,enzi angepata 14 wakati anaingia, 14 wakati anatoka
 
KUMBE rOSTAM NDIE ALIEPEWA power of attorney ya Richmond halafu akakana kuwa hana share hapo duu kweli RA anakula njii hii
 
Wandugu,
Kama kawaida yake, Bw. Mkinga ametamka waziwazi bila woga kwenye Kipindi cha Kipima Joto ITV kuwa wamiliki wa Dowans watakaofaidi mabilioni ni Rostam, Karamagi, Msabaha Chenge.
 
nyerere alimgundua rostam aziz tangu anatoka iran akiwa bwana mdogo akajua huyu ni shushushu wa serikali ya iran..
 
mjadala bado unaendelea natamani usiishe,jamaa anakamua anasema iko siku silaha za majeshi hazitatosha wananchi wakiamua watakuwa wameamua
 
Nimempenda huyu Deus Kibamba. Ametumia kauli ya Nyerere kuhusu jeuri ya maskini kukataa kulipa madeni yasiyo ya haki. Kuna mwingine amesema serikali inataka malipo yatolewe kabla ya kikao cha bunge Februari ili hili swala lisiingie tena mikononi mwa wabunge.
 
Rwegemereza anaendelea kufagilia jamii forum anasema hata hapa anatumia jina lake kamili na sio jina bandia kama mimi na wenzangu kibao
 
Iasee mjadala ni mzito na mkali sana. Kweli inasikitisha saana ukiona, nafikiri JK atavunja baraza la mawaziri kama anaakili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom