Uchi wake yeye hatumii wa mtu
 
Ndoa ni kukongwa/ kugonga bila kuleta madhara kwa mwenzio. So kama anapigwa miti kimya kimya bila mume kujua wala kuleta madhara kwa mume basi ndoa iendelee tu hakuna namna
 
Kwani marehemu wote hawakutulia kwenye ndoa, acheni umbea jamani
Tulieni kwenye ndoa la sivyo kipondo kitawakuta tu! Sasa madam kuna mantiki gani umekubali kuolewa then unakua na affairs na mtu mwingine? Mfano Ukiolewa na mkapata watoto then mkafumaniana mkaachana watoto watakua wakijua maza aliachwa sababu ya kucheat.
Heshimuni ndoa
 
Uchi wake yeye hatumii wa mtu
Sasa kwanini kujifichaficha,ndomaana nikatoa maoni kua hiyo inapendeza kama mtu anaamua kua singo madha,kuolewa halafu unagawagawa kwa kujiiba hivyo,haipendezi,matokeo yake muda mwingine vifo vinatokea.Siunaona kama wewe hapo,uke ni wako,unaugawa unavyotaka,sidhani kama umeolewa,huoni wewe ndiyo aina ya watu ninaopendelea muishi hivyo?Mfano kama jana ulikutwa na karani nyumbani peke yako,anatoa na oda ya kuja kulala kabisa,sidhani kama kuna madhara,maana unakua peke yako,kuliko uko ndoani,unajifichaficha kua hugawi,akijua mumeo, reaction yake,hatuwezi kumpangia,tena umwambie kua nagawa,kwasababu ni yangu,atapata hasira.
 
Sasa kama kwa umri wako huo ndio umekuja kuona leo maajabu ya usaliti ndio unashawishi watu wasioe kwa kisa kimoja cha hadithiwa mimi nilidhani una visa kama 20 hivi,hata hivyo ndoa ni mpango wa Mungu wewe ni nani kuzuia mpango wa Mungu.
wewe unajua umri wangu?
 
Kuna Harusi naichangia tena Tsh 50,000/ kwa Single ila kinachonishangaza Bibi Harusi Mtarajiwa ananishobokea huku akipenda mno Kunikonyeza kila Siku za Vikao ila sijaamua Kumtia / Kumtindua kwani Mumewe Mtarajiwa ni Rafiki yangu mkubwa na huwa tunafaana katika Shida na Raha Kimaisha.

99% ya Ninaowatia ni Wake za Watu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…