MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

boxer then tvs then honlg(hizi nimeziona moshi tu wanabebea mirungi) toyo kisha upuuzi mwngine unaofuata ila cha kukushauri ni kwamba boxer na tvs spare zake ni ghali sana kama ni ya kazi ngumu bora uchukue honlg

Ushauri zaidi kuhusu hiyo honlg nataka nichukue ile honlg seven cc 150, kama unaielewa vzuri tafadhar sana nielekeze,
 
Pikipiki ni matunzo yako mkuu, Boxer ukiitunza utadumu nayo muda mrefu. Spea zipo ila bei yake ipo juu tofauti na mchina. Mafundi wapo kila sehemu pikipiki hizo zimesambaa sana.

Ukitaka uishi nayo muda mrefu ukifanya service ya kumwaga oil kumbuka kubadili Oil filter na kusafisha air cleaner, exhaust iache hiyohiyo usiweke au kuchezea ili iwe na makelele.
Maduka yapo wapi kwa hapa Dar
 
Kama itakuwa kwa matumizi ya nyumbani peke yake chukua HONDA CB 1100 EX. Hii haifai kwa biashara
CB1100EX3.jpg
1CB1100EX (1).jpg
Honda-CB1100-EX-L3qtr.jpg
CB1100EX3.jpg
 
Bei yake Sh ngapi ?
Used ya Honda CB 400 unaweza kupata kuanzia million 7 ila CB 250 hata million 5 unapata matoleo ya 2004 kushuka chini ambazo zilikuwa zina mfumo wa Carburetor.

Hizo bike ni kama gari maana zina 4 cylinder na ni liquid cooled (rejeta ya kupozea injini.

Dar Kuna moja dogo wa Kihindi ana CB 400 nadhani imefungwa Arkapovic Exhaust maana usiku akiwa anatoka Kariakoo, Magomeni lazima usikie engine roaming na huwa anapiga route mpaka Mbezi Africana.

CB400 Iko vizuri sana na Ina nguvu Sana. Mwaka huu nimekutana nazo mbili mpya moja Posta na nyingine Tazara pale Renault Truck.
 
Samahanini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenzenu nina miaka 24, elimu yangu ni kidato cha sita, natafuta boss anokabidhi gar kwa ajiri ya biashara ya uber/bolt
Namba yangu ni hii
0693010116
20210704_174950.jpg
 
View attachment 1474069
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.

Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer
2. SANLG
3. Feckon
4. TVS King
5. Hero
6. King Lion
7. Houjo
---

---

---



View attachment 1474084

BAADHI YA MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU WA JF

---

---

---

---

---

---
Inategemea na location
 
Honlg 150-4
price 2.5 mill ndo maamuzi niloamua kuyafanya kwa wiki ya pili sasa naona tofauti kubwa na yamaha 125 hiii imetulia barabarani haiyumbi (sio nyepesi ukiwa kwenye spid)

Haiumizi mgongo kwa maana spring yake haidundi sana.

breki zake ziko perfect hata ikitokea ni ghafla

iko comfortable sana katika bamsi na barabara mbovu (rough road)
kingereza changu hakijaenda shule.

ahsanteni sana

USHAURI
Kwa matumizi ya kibiashara nakushauri nenda HOUJUE.... NGUMU, MUONEKANO MZURI, INA NGUVU
Mkuu njo inbox kidogo tupeane uzoefu mkuu
 
Back
Top Bottom