Oil ipi bora kwa sasa kwa boxer pikipiki

noel oga

JF-Expert Member
Oct 20, 2015
263
204
Habari mafundi
Nimekuwa mpenzi sana wa kutumia hii oil ya Total katika pikipiki zangu ila kutokana na maneno kuwa mengi juu ya oil ya total kuchakachuliwa nimeona huenda kuna ukweli.Sasa ndugu zangu je ni oil ipi ni bora kutumika kwasasa kwenye hizi pikipik za boxer ahsanten
 
Hiyo Total ndio nzuri ila..Jitahidi ununue kwa mawakala wao walioidhinishwa...ila iwe 20W50.
 
Back
Top Bottom