MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Mwenye softcopy ya mkataba wa pikipiki naomba aiweke hapa ili itusaidie sisi sote pia.
 
Habarini wadau wa JF natafuta pikipiki ya kufanyia mishe za boda boda ila kwa sasa sina ufahamu mzuri wa ubora na changamoto za hayo makampuni.

Hivyo kwa mwenye uwelewa naomba anijuze. Natumaini maoni yenu yatanisaidia sana...
 
Unaifahamu yahama ybr125 ? Nataka kuichukua hiyo, kwa sasa ninamiliki boxer ila naona si imara sana kama hiyo yamaha. Naomba ushauri wako
Pikipiki nzuri sana hyo,

Tatizo lake haina nguvu unapopanda mlima, au ukibeba mzigo mkubwa.

But kwa matumizi ya kawaida iko perfect, na ina speed nzuri.

Sijajua upo mkoa gani bt upatikanaji wa spares ni ishu kidogo.

Kma upo dsm sio kesi, jnaeza wacheki city motors au k/koo
 
TVS kwa sasa hakuna mpinzani
Tvs kweli nimeitumia kwa miaka isiyopingua 6 ila kikibwa naweza sema ni pikipiki nzuri lakini inahitaji matunzo ili uifurahie mno....kikubwa ukiwa makini na service utatembea nayo siku zote.
 
Tvs kweli nimeitumia kwa miaka isiyopingua 6 ila kikibwa naweza sema ni pikipiki nzuri lakini inahitaji matunzo ili uifurahie mno....kikubwa ukiwa makini na service utatembea nayo siku zote.
Service kama zipi, nataka kuwekeza especially kwa hii tvs.?
 
Wakuu hii yangu naiuza 1.7 bado iko njemaView attachment 1748853View attachment 1748854View attachment 1748855
20210117_172430.jpg
 
wakuu kwema polen na majukum pikipiki yangu ni boxer 125 nikiweka oil inatoa moshi mweupe oil ikiisha inatoa moshi mweusi ringpiston ziko sawa naomba ufumbuz wa tatizo hili.
 
Wakuu kwema nataka ninunue piki piki kwa ajili ya shughuli zangu za mizunguko mjini na kubeba vimizigo vdogo vdogo kiasi naomben ushauri kati ya haojue 125-8 ex na Tvs 125 ipi itanifaa ambayo haiitaji service mara kwa mara na urahisi wa upatkanaji wa vifaaa na bei pia. Nb nata npate mpya sio used
 
Back
Top Bottom