Na hapo ndiyo nitatafakari kuoaWakati huo kimekuwa useless kimebaki na kazi moja tu ya kumwaga tindikali
Tabia. Sura huperish soon,siyo permanentJe kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)?
Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika?
Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri lakini tabia mbaya?
Zingatia neno TABIA MBAYA!View attachment 3584537
Hahahha aanh wapi🤣 mnajikaza halafu micheps haikauki huko nje!Kama ukizingatia sentence ya mwisho ya "tabia mbaya" unaweza kuoa sura ya baba😀
Yani we mtoto unajichagulia tu mishangazi kama uko mnadani😆Hawa hapa hawa,
Mmoja sura nzuri, mwingine shepu nzuri na mwingine tabia nzuri.
Seran
ShesRise_1
win-one
nikiwaweka ndani, sina stress na maisha.
Ndugu Mshana Jr nisaidie katika hili.[/b]
Aise katika kitu ambacho sitaki kuwa nacho maishani, ni M/MICHEPUKO.Kanuni ni ile ile; Oa mke mwema weka ndani, nyama nyama zinabakia kuwa ni "Spea tairi".
Mke ni "software" sio "hardware". Unakuta mkali, kaoa mke kawaida sana, ila ana pisi kali mtaani ya kuzugia.
Hapo ndio kasheshe! Kwani hiyo pisi akibaki nayo inakuwaje?Kanuni ni ile ile; Oa mke mwema weka ndani, nyama nyama zinabakia kuwa ni "Spea tairi".
Mke ni "software" sio "hardware". Unakuta mkali, kaoa mke kawaida sana, ila ana pisi kali mtaani ya kuzugia. 😁
Aise katika kitu ambacho sitaki kuwa nacho maishani, ni M/MICHEPUKO.