Political Engineer2
Senior Member
- Feb 23, 2018
- 149
- 117
Uko vizuri,umewaalibia biashara wakandarasi wanaotaka kupiga za site clearance
Ndio BussinessUsawa huu unaongelea mil. 45?
TBA? Watamchorea ramani ya vyumba viwili anayotaka? na risiti ya serikali watampatia, kwa bei gani?Waone TBA
ThanxKupata vifaa vya bora kwa ujenzi wa nyumba kwa bei nafuu.
Tembelea DCT Hardware
Habar Guantanamo, nimeona umeandika kwamba unahitaji nyumba ya vyumba vitano na ulikuwa unaomba watu wakufanyie makadilio, mm ni dada niko kwenye real estate mikocheni ,ofisi zetu zipo pale kida plaza , ni kweli kwa vyumba vitano pamoja na jiko na mengineyo inaweza kufika sh mil 200 lakini pia , mm ningekushaur ujaribu kuanglia kwenye real estate kwa upande wa wanaouza tu, kwa sababu unaweza kukuta bei ya sh mil 200 inapungua kidogo.Vyumba vitano? hiyo siyo ya kawaida ni jumba kubwa tu! Kama upo Dar, andaa kwa uchache milioni 200.
Kwanza kwa wote mliochangia hii post nawaomba niwagongee senksi,kwa sababu ile kitufe cha kubofya senksi hakionekani kwangu.
Pili kuna nyumba (flat) ni mpya vya vyumba vitatu inauzwa kwa milioni 53 hapa Tanga.
Naomba wadau mniambie ni deal nzuri kununua au ni vizuri kujenga mwenyewe kwa hapa Tanga?
Asanteni.
Umetishaaaaa aiseeeNakubaliana na SMU huo mjumba balaa, yaani mkubwa kweli kweli.
Ukijenga mjumba wa size hiyo jee watoto wako wakishaondoka wamemaliza shule utaufanya nini? Vile vile ni kujihakikishia idadi kubwa ya wageni kwa muda wote kwani kuna nafasi ya kutosha.
Maintenance costs ndio hazisemeki, unaweza kufaidi for the first four to five years, baadae ndio harakati za maintenance zinapoanza hapo.
Halafu TRA watakapokupiga hiyo property tax ndio utakoma ubishi.
Majumba ya aina hiyo yalikuwa yanajengwa mnamo miaka ya tisini sio sasa hivi.
Hiyo teknolojia haiitwi hivyo.Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.
Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?
Naomba nielimishwe,
Asanteni.
======
SIMILAR CASES:
Kupaua nyumba ya vyumba vinne makadirio yanaweza kuwaje... Bati mgongo mpana... Naomba makadirio gharama za fundiKaribuni sana wakuu katika kampuni ya eyeson kwa ujenzi bora wa nyumba