Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
3,703
Likes
3,257
Points
280
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
3,703 3,257 280
Kuna mdau kazungumzia tofali za cement na udongo wa kichuguu hebu mwenye uelewa mzuri na hiki Kitu anifafanulie kidogo nami niweze kuitumia kwenye Ujenzi wangu
 
omari kinyemi

omari kinyemi

Member
Joined
Nov 1, 2015
Messages
76
Likes
15
Points
15
omari kinyemi

omari kinyemi

Member
Joined Nov 1, 2015
76 15 15
Kwa Ujenzi wa Nyumba Kama Hii Nzuri Yenye Ubora yenye Urefu wa Mita 18 Kwa Mita 12 Unahitaji Kiasi Cha Tsh Milion 55 tu Kwa Ajili ya Kumiliki Nyumba Kama Hii Tuwasiliane Kwa Namba Hizo chini Kwa Ushauri Mbalimbali wa UJENZI wa Nyumba za Makazi Mfano Ghorofa na Nyumba za Kawaida Pamoja na Nyumba za Biashara ,Mashule

Tupigie kwa:-

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
0738-885806(TTCL Call)

ONE2ONE FOCUS TANZANIA

ONE2ONE FOCUS TANZANIA LTD

MAKUMBUSHO COMPLEX STENDI JENGO LENYE ATM YA CRDB(Floor ya Kwanza)

Tunajenga na Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako

Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali

Pia Tutatengeza Ramani na Kuandaa BOQ ama Makadirio ya Ujenzi wako Kwa Gharama Nafuu Kabisa

NB;Tunajenga Kwa Malipo(Cash) na Sio Kwa Malipo ya Mkopo.

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: http://one2onefocustanzania.co.tz/ @ Dar es Salaam, Tanzania @ Dar es Salaam, Tanzania

Karibu sana ofisini kwa ushauri na Kazi za UJENZI

Tunajenga Ujenzi wa Kuanzia Hadi Tsh Milion 20 na Kuendelea

Tuna MAFUNDI Waliobobea na Utaalamu wa Hali ya Juu
img-20171207-wa0043-jpeg.890381
img-20171207-wa0040-jpeg.890383
 
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
958
Likes
1,351
Points
180
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
958 1,351 180

Tuna MAFUNDI Waliobobea na Utaalamu wa Hali ya Juu View attachment 890381 View attachment 890383
picha hazijakidhi mahitaji na kuyapa macho ufanisi,ongeza nyingine zenye kuonyesha nyumba vizuri
 
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
958
Likes
1,351
Points
180
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
958 1,351 180
Si bora ajenge Ghorofa kwa hiyo 200M
JF kwa kutishana hawajambo,nyumba ya M200 si ya kitoto hekalu hilo,sie vijumba vyetu hivi vya kujenga kinzudi,vijibweni,majohe,chanika huko vyumba vitatu,jiko,sebule,dinning,choo store,studying room(mbwembwe tu) imeenda sana sana haizidi milioni 60
 
pittar

pittar

Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
5
Likes
0
Points
3
pittar

pittar

Member
Joined Dec 20, 2018
5 0 3
Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.

Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?

Naomba nielimishwe,

Asanteni.

======
SIMILAR CASES:
 
Kamukhm

Kamukhm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Messages
889
Likes
1,014
Points
180
Kamukhm

Kamukhm

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2015
889 1,014 180
Kwenye usanifu Wa jengo una vitu vingi ambavyo umevisahau kama dining, sitting, patio, corridor verandah nk. Vyote hivi vina square metre. Kwa haraka niliona ramani ya vyumba vinne, dining, study three bathrooms, na sitting room, ilikuea sq.m. 116. Kwa nyumba ya kiwango cha chini ilikuwa 40,000,000/- kwa kiwango cha kati ni 58,000,000/-
Hii imekaa sawa kweli? ina maana kwa nyumba ya vyumba 5 alioulizia mkuu inaweza kuwa around Tzsh 25 - 30 Million?.

Hii ukikadiria kwamba kila chumba kitakuwa na ukubwa wa 10 square meters. ((10 x 5) x 500,000) = 25,000,000.

Kwa utaratibu huu mbona gharama zitakuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazozisikia kila siku?
 
dingimtoto

dingimtoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2016
Messages
5,832
Likes
12,103
Points
280
dingimtoto

dingimtoto

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2016
5,832 12,103 280
Nimegundua humu tunatishia wengine ooh kama huna m20kwenda juu hujengi ila ninacho amini mimi ukitaka kujenga wewe jenga tu

Nb=》》inategemea na mfukoni mwako
 
F

Frank matiku

New Member
Joined
Jan 16, 2018
Messages
3
Likes
0
Points
3
Age
24
F

Frank matiku

New Member
Joined Jan 16, 2018
3 0 3
Kwanza kwa wote mliochangia hii post nawaomba niwagongee senksi,kwa sababu ile kitufe cha kubofya senksi hakionekani kwangu.

Pili kuna nyumba (flat) ni mpya vya vyumba vitatu inauzwa kwa milioni 53 hapa Tanga.

Naomba wadau mniambie ni deal nzuri kununua au ni vizuri kujenga mwenyewe kwa hapa Tanga?

Asanteni.
Ni heri ujenge mwenyw tu maan uwatumia mafundi Wa kawaida sidhani kama itafika bei hiyo
 
KiuyaJibu

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Messages
799
Likes
72
Points
45
KiuyaJibu

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2007
799 72 45
Kwa Ujenzi wa Nyumba Kama Hii Nzuri Yenye Ubora yenye Urefu wa Mita 18 Kwa Mita 12 Unahitaji Kiasi Cha Tsh Milion 55 tu Kwa Ajili ya Kumiliki Nyumba Kama Hii Tuwasiliane Kwa Namba Hizo chini Kwa Ushauri Mbalimbali wa UJENZI wa Nyumba za Makazi Mfano Ghorofa na Nyumba za Kawaida Pamoja na Nyumba za Biashara ,Mashule

Tupigie kwa:-

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
0738-885806(TTCL Call)

ONE2ONE FOCUS TANZANIA

ONE2ONE FOCUS TANZANIA LTD

MAKUMBUSHO COMPLEX STENDI JENGO LENYE ATM YA CRDB(Floor ya Kwanza)

Tunajenga na Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako

Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali

Pia Tutatengeza Ramani na Kuandaa BOQ ama Makadirio ya Ujenzi wako Kwa Gharama Nafuu Kabisa

NB;Tunajenga Kwa Malipo(Cash) na Sio Kwa Malipo ya Mkopo.

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: http://one2onefocustanzania.co.tz/ @ Dar es Salaam, Tanzania @ Dar es Salaam, Tanzania

Karibu sana ofisini kwa ushauri na Kazi za UJENZI

Tunajenga Ujenzi wa Kuanzia Hadi Tsh Milion 20 na Kuendelea

Tuna MAFUNDI Waliobobea na Utaalamu wa Hali ya Juu View attachment 890381 View attachment 890383
Nimeona sample ya nyumba zenu; hadi hivi sasa nina 20M kwaajili ya kupata makazi/nyumba ya kuishi either kwa kujenga or kununua ndani ya mkoa wa Dar es salaam.
Naombeni msaada katika kutimiza lengo langu la kuwa na makazi bora ndani ya miezi sita kuanzia sasa.
 
Forum statistics

Threads 1,250,498
Members 481,371
Posts 29,735,723