Gharama za kujenga nyumba Hadi kwenye lenta

Aluwatan

JF-Expert Member
Apr 7, 2023
267
573
Wadau habarini

Hivi gharama ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu dinning na sitting room mpaka kufikia mwenye lentre inaweza kugharim shingap za kitanzania

Hapa naulizia kuanzia msingi, gharama za mchanga, cement, mawe, etc

Msaada wenu wakujichanga wenzangu
 
Back
Top Bottom