Ushauri wa Bei ya Kununua Nyumba ya Aina hii

Aigle

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
711
6,186
Habari

Naomba ushauri wa kununua ama kujenga nyumba iliyo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa Skwea mita 100.

Ambayo ramani yake ni nyumba ya vyumba viwili, choo cha Public, jiko na sebule.

Ushauri wajuvi wa ujenzi nyumba ya aina hii yaweza kugharimu kiasi gani hadi kukamilika?

Na je kipi bora kujenga ama kununua ambayo tayari imeshajengwa.
 
Mkuu, nakushauri ili upate unachotamani na maamuzi na ushauri Bora wawataluma, naomba huu Uzi peleka jukwaa la ujenzi kule, huku utapata majibu yasiyo na staa, wengi watakuchukulia poa... Maana walio na stress ni wengi..
 
kwanza kiwanja Square meter 100 ina maana kiwanja chako kiwe na urefu wa mita 10 na upana wa mita. ambapo nyumba tu peke yake yenye ukubwa huo inakuwa imebana sana sijui kiwanja. kingine garama zozote zinategemea na mambo mengi unataka nyumba ya rooms ngap, n.k
cha mwisho ni vyema ujenge kulingana na mapendekezo yako kuliko nyumba ya kununua. au option nzur ni ununue pagala na uendeleze ila nyumba yakununua complete aiko more expensive kuliko kujenga mwnyw
 
Back
Top Bottom