RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,835
Hii sio nyumba ni bomu litakalowadondokea watu
Ukweli ni mchungu mkuu. Lkn huo ndio ukweli. Ulitaka nitetee kitu ambacho hakina uimara?
Hivi sio wewe una matangazo humu kuwa UNAWAJENGEA WATU NYUMBA KWA 32M??!!! Kumbe ulikuwa unamaanisha unawajengea MABANDA!!Nimesema 30 mil inatosha kujenga banda over
kwa mtu ambae anafanya biashara ya nyumba kama wewe ni busara sana ukajiepusha na comments kama hizi. Kwasababu hata wewe vile vile si kila mtu ana-appreciate unachokifanya.