Mizengo Pinda Waziri mkuu!

Mizengo Pinda Waziri mkuu!

Mke wake alishafariki.

No wonder anavaa suti ya jacket and vest on his confirmation day.

But then again after workin in Ikulu for decades jamaa bado hajui kupanga vitu tu? Shows you his learning curve if not his presentability, not to be trivialized as cosmetics in today's world.
 
Bangusilo una undungu na Dr Msabaha, am curious.....!!
Habari Yafoo ushirombo, .........nangsha , any way nafikiri utagundua kwa salamu kama nina undugu au la, ila tunao, undugu wetu ni kuwa tulikuwa na mtetea hatuna jogoo ikawa tunachukua jogoo wa kina msabaha kwa ajili ya kutagisha mtetea wetu kijini, hapo ndipo undugu akaanza
 
Anasema kuwa kamati teule imefanya kazi yake na pengine kazi hiyo ndio imemfanya yeye kuwa hapo alipo, anasema kuwa kwake kubwa ni kukubali kuwa ktk utendaji wa kazi za serikali lazima kila mmoja ahakikishe kuwa anatimiza wajibu wake kwa jinsi inavyopaswa.

Kila waziri lazima ahakikishe kuwa wataalamu wao wanafanya kazi kwa kina na kwa ukweli.

Anasema kuwa ripoti ilionyesha kuwa anapaswa kuhakikisha kuwa anafanya kazi ya kukomesha maovu yote ndani ya serikali na kuyakomesha .

Anasema kuwa yeye kama kiongozi yupo kwa ajili ya kuitumia ripoti hiyo kama dira ya kumwongoza.
Kwake TAKUKURU,POLISI NA USALAMA kazi yao kubwa ni kuweza kuisaidia serikali ili kuweza kufanya kazi zao kwa kina zaidi.

Anaamini kuwa yapo mabadiliko muhimu ili kuhakikisha kuwa majukumu yao yanafanyiwa kazi ipasavyo ,na anaahidi mabadiliko ili kuweza kuhudumia wananchi inavyotakiwa.

Anawataka mawaziri watakaoteuliwa lazima wawe tayari kufanya kazi za wananchi kwa kadri walivyodhamiria.

Anasema kuwa bunge linakidhi mahitaji ya mfumo wa vyama vingi na kuna kipindi wasipokuwa makini kuna tatizo, anasisistiza kuwa jambo kuwa sio vyama ila ni bunge na hoja itakuwa ni kujenga bunge na sio vyama ili kuweza kujenga nchi .

Anawashukuru wote aliokuwa nao ndani ya bunge kwa muda wake wa vipindi viwili.

Katika kutekeleza ilani ya CCM anasema wote tushirikiane na kufuchua maovu yote ili kuijenga nchi na kazi hiyo sio ya mtu mmoja-maovu yafichuliwe kwenye ngazi za serikali za mitaa na serikali kuu.

Anawashukuru sana vyombo vya habari ktk kutoa habari kwa watanzania na atajitahidi kufanya nao kazi,ila taarifa zao watakazozitoa ziwe za kweli na zenye kukidhi haja ya watanzania.

Anawashukuru sana viongozi wa upinzani na wabunge wote wa upinzani kwa kazi waliyompa ngumu, na anaamini kuwa kwa jinsi anavyoona ni kuwa a=wataweza kushirikiana kujenga nchi kwa pamoja.

Anawashukuru waliompa kura na waliomnyima.

Anarudia kuwa yeye sio mwanasiasa ila ataendelea kujifunza na hapo wataweza kuleta maisha bora .

Anasema kuwa huenda pakawa na hisia juu ya ripoti ya richmond,anaamini kuwa hakuna hisia za nia mbaya ila ni njia ya kuweza kujenga nchi,anawapongeza wote waliojiuzilu na lowassa na anaamini kuwa hiyo ndio njia ya kujenga taifa na CCM .

anaomba kuambia ukweli juu ya yale yote watu wakiona kuwa hayajengi na yeye yupo tayari kuyaacha mara moja.

Sasa Nimpe pongezi Vladimir Putin wa Tanzania na hivi ndivyo vya muhimu livyosema katika hotuba yake.

Tufuatilie haya na kuilazimisha Seikali ifuate kauli hizi.
 
Habari Yafoo ushirombo, .........nangsha , any way nafikiri utagundua kwa salamu kama nina undugu au la, ila tunao, undugu wetu ni kuwa tulikuwa na mtete hatuna jogoom ikawa tunachukua jogoo wa kina msabaha kwa ajili ya kutagisha mtetea wetu kijini, hapo ndipo undugu akaanza

Bangusilo,

Nimependa sana hii avatar yako- na kila mtu akiangalia anakumbuka aliyosema Msabaha!
 
Sasa Nimpe pongezi Vladimir Putin wa Tanzania na hivi ndivyo vya muhimu livyosema katika hotuba yake.

Tufuatilie haya na kuilazimisha Seikali ifuate kauli hizi.

Hapo umenena,Kweli huyu anaweza kuja kuwa Putin, but he should bring fortune to the millions, and Boris whould leave sooon
 
mwafrika wa kike!! Spare my ribs....hahahah sidhani kama kutakuwa na ugomvi jamani nimejiuliza tu nani atakuwa ameharibu kura? kuna mwingine alihisi mbunge wa Monduli maana bado yuko kwenye shock....

Bon week end

Kura za hapana zimejulikana ni kina nani!

Moja ni Rostam Azizi, na nyingine ni.......

Mbunge wa Monduli hakupiga kura ila kura yake kaipiga Mama Kilango Malecela just for a show!

Bon Week End nawe pia!

Mkjj ameandaa bonge la bash weekend hii kusherekea ushindi dhidi ya Lowasa..... wote karibuni!
 
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho
 
hapa wametoa galasha na wametuletea jokeli,mimi hapa wameniacha hoi bin taabani.
Sasa tule na JK mwenyewe kwani ndio anakaribisha mashambiulizi kutoka kila kona
 
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho

Wewe Bangusilo umenifanya nicheke sana leo, yaani u made my day still laughing as I type. Hilo jina lako, avatar na huo mstari ulioumwaga hapo really made me laugh...

U are entertainer mate Im calling it a day...........
 
MADELA WA- MADILU
Hebu fikiria, siku 7 tu zilizo pita hakuna mtu alikuwa na wazo kwamba MH Pinda siku moja angeweza kuwa PM.Hii inaonyesha kwamba uchaguzi wa PM haujafuata majina yalojikita kwenye siasa.
hatuwezi sema mengi sana kwani wengine Pinda hatumjui sana zaidi ya kujua kwamba ni mbunge
.

Kuna post kadhaa zangu na wengineo waliotabiria kuwa the next PM will be Mhe PINDA...vilevile kuna post yenye CV yake....jamaa ni intelligent hard working and honest....tuombe Mungu asije akabadilika maana tusisahau kuwa power inalewesha.
 
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho

ha ha ha ha....

hii ni kali.... nakuambia basi tu jamani ile picha ya kipanya pia leo ilikuwa kali sana.....

Mkuu Bangusilo.... ingawa sijui wale wanazi wa kidini watasema nini lakini huu mfano hata mimi ume-make my day.!
 
Yup,

the same guys ingawa huyu mzee ametoka huko na "kuingia kwenye siasa" kwa hiyo hana connection zaidi na ambacho kimekuwa kinaendelea kuanzia mwaka 1994 huko usalama wa matumbo ya wakubwa serikalini oooopppppssss usalama wa taifa!

-----------------------------------------------------------------

Yes, ooooooooopppppssss is what you should say, because you probably don't have all the facts about the new PM. well, here's the 411....

Ana sifa zifuatazo:

1. Anatoka sehemu iliyotulia kisiasa, CCM haina vurugu kule na hakuna wajanja wengi.
2. Amefanya kazi serikalini siku zote, ana shahada moja (better than Sumaye).
3. Hadhaniwi kuwa na political ambitions, as you can see until 2000, he has never been an elected official. Ila anaweza kubadilika kama alivyofanya Sumaye.
4. Hana makundi, hana washikaji, yupo yupo tu.
5. He is loyal and could be disciplined too.
6. he may consider JK's appointment of him as a PM to be a "favor", hence he may pay it back by being a "Yes Sir" man. He may do as he is told, and from what we see right now, JK is determined to "clean" his dirty closets.
7. Hana historia ya kupenda fedha na biashara kama alivyokuwa Lowassa.
8. Will be easy to control as he does not have a the "power" weapon that comes with money, popularity, etc.

Ben aliwahi kumpa siri JK hivi karibuni kuwa afanye kama yeye alovyofanya wakati wake....achague mtu ambaye "hatakupa shida". Upo hapo?

Again, ooooooppppsssss!
 
Hivi mafisadi wote wakiondoka, JF tutafanya nini? JF inaweza kufa.

Tusiwalani sana mafisadi maana wakitoweka, hapa JF patabore kweli kweli.

Mafisadi ni ndugu zetu na wanaipandisha JF. Kunaweza kuwa na conflict of interest hapa, JF hawataki mafisadi waondoke, maana kijiwe chetu kitapoa.

Nawikilisha hoja!
 
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho

Duh, hii kali kweli,sina mbavu!

Hongera mheshimiwa Mizengo, tunakuangalia kwa macho matatu!!
 
For more information, check out the PM's Resume below.

Positions
From
To
Organisation
Position
2008

Prime Minister's Office
Prime Minister
2006
2008
Prime Minister's Office
Minister of State for Regional Administration & Local Government
2005

Mpanda Mashariki Constituency
MP for Mpanda Mashariki
2000
2005
Prime Minister's Office
Deputy Minister in the Prime Minister's Office - Regional Administration & Local Government
1996
2000
President's Office
State House Clerk to the Cabinet
1982
1992
Prime Minister's Office - Government Press
Assistant Private Secretary to the President
1978
1982
President's Office
State House Security Officer
1974
1978
Ministry of Justice & Constitutional Affairs
State Attorney
1971
1974
University of Dar es Salaam
Undergraduate Student - LLB Law

Again, ooooooppppsssss!

Haya ni maneno yako na una right ya kuyasema na kuyasimamia na ukimaliza unaweza kupelekea nyumbani wayasome! get it?
 
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho

Duh!

Bangusilo kweli hii kali mweh!
 
Lets hope ameona yaliyomkuta mwenzie yeye atakuwa makini ila anoanekana ni mtu makini tatizo as we all knw system nzima imeoza it needs a major revamp. lets see kwanza hlo baraza la mawaziri
 
Haya ni maneno yako na una right ya kuyasema na kuyasimamia na ukimaliza unaweza kupelekea nyumbani wayasome! get it?

-----------------------------------------------------------------

Hovyoooooo!
Dada acha uswahili....Unaingiza malani hapa JF unafikiri tuko mtaa wa Kongo? Hapa ni JF, jamani tustaarabike. Peace🙂!
 
Hivi mafisadi wote wakiondoka, JF tutafanya nini? JF inaweza kufa.

Tusiwalani sana mafisadi maana wakitoweka, hapa JF patabore kweli kweli.

Mafisadi ni ndugu zetu na wanaipandisha JF. Kunaweza kuwa na conflict of interest hapa, JF hawataki mafisadi waondoke, maana kijiwe chetu kitapoa.

Nawikilisha hoja!

Mhh,

ina maana unataka kusema kuwa Mkjj atakosa kazi sasa maana Lowasa ameondoka.....lol
 
Back
Top Bottom