Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
-----------------------------------------------------------------
Hovyoooooo!
Dada acha uswahili....Unaingiza malani hapa JF unafikiri tuko mtaa wa Kongo? Hapa ni JF, jamani tustaarabike. Peace🙂!
You cant have it both ways! kama wewe kuna vitu unaviona vya kistaarabu na vizuri huko kwa mafisadi, mimi naona the other way around! Huwezi kudai kuheshimiwa maneno yako wakati ya wengine unayadharau!