NImeona maswali mazuri sana katika thread hii ambayo nadhani ni muhimu kupata jibu, naomba niongeze au nirudie baadhi:
1. Kwa nini EL alisisitiza kwamba yeye na MP wamefanana sana (they both grew up from same officeand close to wakuu)
2. Kwa nini wabunge wote wa CCM walimsifia EL na kusema ni shujaa etc baada ya ile aibu aliyopata? (kwa kuwa alimeza msumari wa moto na kubeba mzigo mzima, hushangai analogy za utani za Yesu?)
3. Kwa nini MP alianza kumsifu EL nakusema ndiye aliyemkomaza? (EL is a bully, kuweza kuhimili mapigo ni kukomaa! muulize Anna Kilango!)
4. Kwa nini MP alirudia sifa zake kwa EL baada ya kuchaguliwa na pia kutaja 'malezi' aliyopata chini ya Sumaye, Mkapa, Lowassa, etc(he is making peace with all the alleged Mafisadi, relaxing them before he can bite them, umesahau Lowassa was too arrogant akajisahau kuwa kuna uchunguzi?)
5. Kwa nini MP alisisitiza wasameheana? (EL, Karamagi, Bangusilo, Chenge, Mramba, Meghji are in hot seats katika Bunge, so are the rest of mawaziri watakaotemwa, RA, Mgonja and others "victims". there is going to be retaliation of somesort and CCM may end up splitting)
Mimi sina majibu ya moja kwa moja lakini I am using my analytical skills na some information niliyopata from some insiders as follows:
- Mgawanyiko tulioona bungeni Alhamisi ilikuwa ni faction ya CCM asili na wengine walio nje ya Mtandao Maslahi wakionyesha makucha yao
- Alhamisi baada ya bunge kwisha kulikuwa na mvutano mkubwa sana kati ya kambi hizi mbalimbali. Walikuwa wana threaten tit for tat, kwani hizi story za EPA, Kiwira, Richmond, was leaked by different factions wakitaka kuonyesha kwamba the other awamu is more corrupt!
- MP alionekana ni mtu ambaye alikubalika na Mkapa camp, CCM asili camp na Mtandao camp.
- MP aliahidi kufunika mabaya yote, na alisema ya nyuma kuyasahau kwani ameahidi kuficha maovu yote ya CCM (Mkapa era, Kikwete era). Also ni kada mzuri wa chama, na kama kweli ni mtu wa usalama basi anafuata amri (he will not be a thinking man - not that EL appeared to be thinking).
- Mimi nadhani kilichobaki ni kujaribu kuelewa the politics behind kwa sababu watz tumezidi kuburuzwa na kuambiwa tusahau! Mimi sioni maendeleo yoyote in the coming years until 2010!