mitindo ya kusuka na kunyoa nywele!

mitindo ya kusuka na kunyoa nywele!

Mnasemaje humu? Nilikuwa nimeshinda kule siasani nakuja hapa na nataka mnipe hongera kwani CHADEMA tumeshinda kata ya Daraja Mbili kwa hapo katikati yake, hureee! Ah kumbe niko home kwangu CHITCHAT? Ahsanteni kwa kunisikiliza. Haya leteni habari...
 
Ndovu Baridii.jpg
Dah nina kiu balaa​
 
Mnasemaje humu? Nilikuwa nimeshinda kule siasani nakuja hapa na nataka mnipe hongera kwani CHADEMA tumeshinda kata ya Daraja Mbili kwa hapo katikati yake, hureee! Ah kumbe niko home kwangu CHITCHAT? Ahsanteni kwa kunisikiliza. Haya leteni habari...

hongera kwa ushindi
 
Kwanza sio love garden ni Garden Love!
Sasa Zion Daughter ukiwa na hiyo garden hata nyoka walojificha huwaoni itakuwaje?
Kama mtu kakutegea misumari siunajeruhiwa kifanyio aisee lol

Asante mwalimu kwa kunisahihisha.. ntagugo kupata uhakika zaidi...
hao nyoka kwako wewe mtoto wa mjini..wenzio wamasai ni suna....
 
Last edited by a moderator:
Na bado! Mtanyanyasika sana, hatubipu maisha tunayaishi baba! Kutangulia mjini sio kuwini!
Heheheee humu anayeweza kuniingilia nikanyamaza ni Invisible tu coz mi ndo dedicated Mod wa Chit Chat hakuna cha Paw kwanza anatunyanyasa na King'asti wake!
Ila kwa kulinda heshima yangu sitaji,ntakuonyesha badae
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom