mitindo ya kusuka na kunyoa nywele!

yebo yebo

jicho la mke mwenza
images


majongoo
images

images
 
mh, dada mkubwa. hayo majongoo na sausage nasikia yanaumaje thatha. kha thithubutu mie. . . kichwa changu zen kinipe shida lolest!!!!!!
My dear, inategemea na msusi.
nimewahi kusikia majongoo sikulala usiku kucha nalia, Yaani bado kidogo nitimuliwe kwa kitanda....... Ilikuwa balaa. Siku nikakutana na mtu kayasuka, ikabidi nimwamkie maana najua kasheshe yake. Nilipompa pole akanishangaa tu na kuniambia hayakumwuma kabisa, akanipa namba ya msusi, nikaenda kusuka (sikuyakatia tamaa sababu nayapenda). Niliporudi home salama ilikuwa "ungekuwa mtoto leo ningekuchapa sana" na akaniambia leo ukianza kilio nahama chumba. Akashangaa nimelala mpaka asubuhi bila hata kugusa kichwa.
Kama unayapenda na upo dar niPM nikupe namba ya msusi
 
Back
Top Bottom