Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
- Thread starter
- #41
lol....king'asti....halafu dhambi hii inavyotafuna vibaya hata ukirudi kwa mumeo/mkeo huthubutu hata kumuhadithia yaliyokukumba huko!
mwj1 bana,....tatizo lako wewe upo kiseminari zaidi....
kuna malalamiko hata hapa jf watu wanasumbuana kwa pm, sembuse hizi
flirts zinazoendelea hapa...
sasa imagine hii jf ndio ingekuwa live event, tunakutana kwenye ukumbi watu tunapiga soga weee,...
jioni tunarudi kwa kina baba/mama chanja wetu...aiseee!
Kwa kweli ukiangalia hizo mambo utachoka, hukawii kutaka mwenza awe baba wa nyumbani. Sasa kazi kwa wanaosafiri kikazi, mbu utachoka! Mnakutana watu wa kila taifa, baada ya chitchat za chai, lunch na evening tea. Ukienda kulala hako ka extensheni kanaita utadhani kwa daktari. Wanaanza kumwaga sera! Mwisho wa kazi siku ya kufunga mafunzo,kila mtu anatupa ndoano kwa zamu! U feel like wearing a tag 'I aint here for auction'
Nachoka pamoja nawe!
mwj1 bana,....tatizo lako wewe upo kiseminari zaidi....
kuna malalamiko hata hapa jf watu wanasumbuana kwa pm, sembuse hizi
flirts zinazoendelea hapa...
sasa imagine hii jf ndio ingekuwa live event, tunakutana kwenye ukumbi watu tunapiga soga weee,...
jioni tunarudi kwa kina baba/mama chanja wetu...aiseee!
Mkuu tuko pamoja. Sijabisha lakini ukisoma deep post ya mtoa mada ni kauliza kama haliepukiki.