...mitihani makazini, mwee!...

atakayebisha anabisha tu for the sake ya kubisa lakini khabari ndo hiyo Mbu....nimeipenda picha ya chini aisee hiyo miguu wakitoka hapo ni kwenda kumalizia 'dessert' tu:poa

mkuu kwa hiyo wewe ikikutokea unamaliza kabisa shughuli na kumsahau mkeo home kweli hapa job is available..
 
Kukosekana Uadilifu na Uzalendo Maofisini zama hizi nako kunachangia Mapenzi kazini. Ukiwa Mwadilifu kazini, utawaheshimu staff wenzako,kwamba upo kazini kufanya kazi tu na wale staff wenzako ni kaka na dada zako. Ukiwa Mzalendo utaipenda kazi yako, ukiwa ofisini utafikiria kazi yako tu na kutekeleza majukumu yako, kwa staili hio Mapenzi yatakuwa na nafasi ndogo sana au haipo kabisa Ofisini.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
black-woman-flirting-.jpg

....nakumbukia ya Ngoswe; Penzi kitovu cha uzembe...

flirting-with-women.jpg

...hivi mapenzi ya makazini (flirts & flings) ngumu kuepukika ee? ati no strings attached,khaa?

Muwe na wikiendi njema aisee, nimepita kuwasalimia tu.

za ofisi moja sio za kuentertain kabisa... kama uko obsessed na ukabahatika kupata anayeelewa vizuri hizo vitu, awe mbali i.e nje ya nchi, province nyingine, mkoa mwingine. Piga ua usikubali kukutana nae ana kwa ana hata kama ni kwa dakika moko.

kuflirt/fling nadhani si kucheat.

Hehehhe pole mchakamchaka usioruhusiwa kuvaa bukta.

I guess unaangalia ofisi na ofisi, sehemu na sehemu.Kuna maofisi ambayo ni full respect, kama ambavyo nimeshuhudia mimi.Co wokers wanasalimiana asubuhi, wakienda/toka lunch na muda wa kuondoka.Masaa yaliyobaki kila mmoja kajifungia kwenye kakibanda kake.

unaweza kuwa unawaza hivyo, flirts and flings sio lazima thirt party azione au kuzing'amua. Unaweza flirt kwa simu, email, skype etc. Kimya kingi kinamshindo mkuu.
 
za ofisi moja sio za kuentertain kabisa... kama uko obsessed na ukabahatika kupata anayeelewa vizuri hizo vitu, awe mbali i.e nje ya nchi, province nyingine, mkoa mwingine. Piga ua usikubali kukutana nae ana kwa ana hata kama ni kwa dakika moko.

Mkuu FA unayoyasema ni ya kweli kabisa watu huogopa sana kuchanganya madawa (kazi na mapenzi) lakini wengine hushindwa. Inapendeza kama penzi litashamiri lakini kama litaingia shubiri basi huwa patashika nguo kuchanika na hata wakati mwingine kusababisha mmoja ahamishwe kabisa ofisi au hata kuamua kuacha kazi.
 
Nini tofauti na mipaka kati ya flirt na mapenzi BAK?
 
Nini tofauti na mipaka kati ya flirt na mapenzi BAK?

....Si unaujua mwanzo wa ngoma FA?.....na mdundo ukishamiri basi wacheza ngoma hujimwagamwaga :):)...tena kwa madaha makubwa :):)...na mara nyingi sana mipaka iliyokuwepo hukiukwa.
 
....Si unaujua mwanzo wa ngoma FA?.....na mdundo ukishamiri basi wacheza ngoma hujimwagamwaga :):)...tena kwa madaha makubwa :):)...na mara nyingi sana mipaka iliyokuwepo hukiukwa.

I think flirting is sometimes health, kama unaweza kuwa wazi na kuelezea mipango na matarajio kwa admirer wako.

Wakti mwingine unakutana na mtu mnaelewana kupita watu wote duniani, ila mnajikuta tayari mko na obligations. Ili maintain fidelity relationship, inabidi usicheat lakini ukaendelea kuflirt na huyo admirer mwingine. In ideal situation this sounds offal but in real situation watu wanaweza kuflirt for years.

The assumptions are flirting is significantly different from cheating, the person you are flirting is hundreds or thousands of miles away.
 
Nakubaliana nawe Mkuu FA kwa wengine (sijui ni asilimia ngapi) huwa wanaendelea kuheshimu "obligations" walizokuwa nazo lakini wengine huamua kuzivunja na kuanzisha makazi mapya. Nakumbuka miaka michache iliyopita kuna congressman (au senator sikumbuki vizuri) alipanda ndege hadi Spain kwenda kumfuata mrembo huku akidanganya kwamba ameenda kuwinda. Hawa mawasiliano yao yalikuwa ni through emails na wakajenga penzi la nguvu na hatimaye kuamua kukutana.

Kwa hiyo pamoja na distance iliyokuwepo lakini kama binadamu wakitaka kukiuka mipaka iliyokuwepo basi hawashindwi kabisa kufanya hivyo. To travel from point A to point B is not as difficult as it used to be few years ago.

  • Thanks
Reactions: Mbu
Nakubaliana nawe Mkuu FA kwa wengine (sijui ni asilimia ngapi) huwa wanaendelea kuheshimu "obligations" walizokuwa nazo lakini wengine huamua kuzivunja na kuanzisha makazi mapya. Nakumbuka miaka michache iliyopita kuna congressman (au senator sikumbuki vizuri) alipanda ndege hadi Spain kwenda kumfuata mrembo huku akidanganya kwamba ameenda kuwinda.

Kwa hiyo pamoja na distance iliyokuwepo lakini kama binadamu wakitaka kukiuka mipaka iliyokuwepo basi hawashindwi kabisa kufanya hivyo. To travel from point A to point B is not as difficult as it used to be few years ago.

Do you mean that flirting is cheating? Kama ndivyo what if your significant other umeshamwambia kuwa kuna jamaa somewhere mnaelewana sana na anatamani angewahi kukupata. Kuna familia ambazo zimefikia kuwa friends na chanzo ni hiyo flirting.
 
...it depends on your status....If you're single or married.....hizo familia zina bahati kubwa nyumba nyingine hali kama hiyo husababisha ngumi zirushwe huku na kule.
 
...it depends on your status....If you're single or married.....hizo familia zina bahati kubwa nyumba nyingine hali kama hiyo husababisha ngumi zirushwe huku na kule.

On my opinion, there should be a framework for flirting to make sure it does not cause misunderstanding to the relationships.

Kwa hiyo ndugu Mbu sio lazima kuepuka flirts. Ikitokea, na kama unadhani unaihitaji, na unaweza kuihimili, mfahamishe mwenza wako (kama wewe sio single) na ucheze ka step usijemkanyaga mwenzio.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
ni kitu cha kuepuka kama chawa!!!! yani mkigombana utajuuuta kumfahamu huyo mpenzi wako wa kazini. Nimeshuhudia watu wanaachana halafu baada ya muda mfupi wanatoka na mtu mwingine hapo hapo ofisini inakuwa full balaa. Binafsi napenda my love life nje ya ofisi,ofisini ni stress tupu.
 
black-woman-flirting-.jpg

....nakumbukia ya Ngoswe; Penzi kitovu cha uzembe...
...hivi mapenzi ya makazini (flirts & flings) ngumu kuepukika ee? ati no strings attached,khaa?

Muwe na wikiendi njema aisee, nimepita kuwasalimia tu.

Nimeipenda the above pic.... there is som much love in their expressions.... (body language and the eyes....)... Umenikumbusha mbali na hicho kitambu cha ngoswe.... Mwandishi wake (Semzaba) yaani naona wakati wa ujana wake ni the typical Ngoswe type...lol... If you know what i mean... B2T

Fanya flirts and flings kokote kule but sio kazini/mahala unaishi/mahala unashinda hasa kama pakudumu. Ni mara chache saana flirts and flings huishia vizuri... Once you have sex ndo mwisho wa mchezo... Ama mwanzo depending na vipi imekua. Mara nyingi ni lazima mmoja wenu ama both mlizwe na kuumia vibaya... Hio inafanya mahala pa kazi panakua pagumu saana kufanya kazi. Wengine hata wamepoteza kazi zao. Labda otherwise woote mpo single... searching and Free!
 
Do you mean that flirting is cheating? Kama ndivyo what if your significant other umeshamwambia kuwa kuna jamaa somewhere mnaelewana sana na anatamani angewahi kukupata. Kuna familia ambazo zimefikia kuwa friends na chanzo ni hiyo flirting.
FA hii imekaa kimbele zaidi.
 
[/CENTER]

Fanya flirts and flings kokote kule but sio kazini/mahala unaishi/mahala unashinda hasa kama pakudumu.

those r th right places for flirts and flings ,sema ikiienda beyond tht level ya flirts n flings basi hapo kila kitu kinaharibika.
 
...Freema, kwa wengine hilo la kuwaambia "am happily married!" ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa...

On my opinion, there should be a framework for flirting to make sure it does not cause misunderstanding to the relationships.

Kwa hiyo ndugu Mbu sio lazima kuepuka flirts. Ikitokea, na kama unadhani unaihitaji, na unaweza kuihimili, mfahamishe mwenza wako (kama wewe sio single) na ucheze ka step usijemkanyaga mwenzio.
Clinton-n-Cain-6201.jpg

Shida yao kama Monica Lewinsky vile, "mende aangushe kabati!...!"
 
Kukosekana Uadilifu na Uzalendo Maofisini zama hizi nako kunachangia Mapenzi kazini. Ukiwa Mwadilifu kazini, utawaheshimu staff wenzako,kwamba upo kazini kufanya kazi tu na wale staff wenzako ni kaka na dada zako. Ukiwa Mzalendo utaipenda kazi yako, ukiwa ofisini utafikiria kazi yako tu na kutekeleza majukumu yako, kwa staili hio Mapenzi yatakuwa na nafasi ndogo sana au haipo kabisa Ofisini.

....Kivumah, hii ni dhambi ya asili bana haina zama hizi pekee...utandawazi ndio unaofanya jambo hili lionekane kana kwamba limeshamiri, lakini miaka nenda rudi watu "wanatekenyana" huko makazini kisha unasikia wamewaacha wake zao/waume zao wakaoana wao.
 
MBu,

all the office stuffs will only affect you if you are not determined to be professional........ if you know what i am saying

Gotcha bro,...i mean "ukila na kipofu usimguse mkono!" na zile (office outings)
siku za family day unajitahidi kwa nguvu zote familia zisigongane macho.

...lol....mwj1 mantahofu soulmate,
mie mleta habari tu, sijanyewa na mvua vuli wala masika.

Mbu limekusibu lipi tena mpenz wangu??! Lol!

Hapana naungana na MTM kuwa mapenzi kazini yanaepukika kwa mtu aliyeko serious na anayetambua thamani ya utu wake na heshma yake.

Mbona kuna wanaofikia hata kuacha kazi sababu ya kusumbuliwa?

Hata katika kapu la samaki waliooza uwezekano wa kumpata mzima upo sema tu tunakinzwa na ile harufu ya uozo na kujikuta tunaishia kulimwaga kapu zima.

By the way, nimekumiss.

Wewe unazungumzia sexual harrassments mamie, hizo zinaendana na bullying behaviours.
Hapana, mimi nazungumzia zile za mahusiano mazuri kazini kiasi kwamba hata work mate wako
asipokuja kazini nawewe unajihisi mgonjwa siku hiyo...

BTW, kina mama wengi huenda extra mile katika kujipodoa na kuvaa nguo zenye mvuto wa majaribu waendapo kazini..
lengo ni nini jamani.. MNATUTEGA mbu wenye mioyo dhaifu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom