...mitihani makazini, mwee!...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,845
black-woman-flirting-.jpg

....nakumbukia ya Ngoswe; Penzi kitovu cha uzembe...

flirting-with-women.jpg

...hivi mapenzi ya makazini (flirts & flings) ngumu kuepukika ee? ati no strings attached,khaa?

Muwe na wikiendi njema aisee, nimepita kuwasalimia tu.

Kwanini unasema haiepukiki Mbu?
Kama hamna wa kumwatrakti mwenzake ndio basi tena.

BTW. . . .you've been missed around here.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivi inawezekana vipi akili yako ukiiseti kwenye kazi halafu ikuongoze kuwaza ngono? siamini hili,
Kama umekaa kinyegenyege basi wewe hata msibani wenzako wanaomboleza wewe utakuwa unawashwa tu na nyege zako, nimeshaona mara kadhaa watu wenye pepo wangono wanabadilishana contact hata makaburini kwenye mazishi.
 
Kwanini unasema haiepukiki Mbu?
Kama hamna wa kumwatrakti mwenzake ndio basi tena.

BTW. . . .you've been missed around here.

...missed you too guys & dolls,...e bana tunaharakati za kufunga mwaka huku...mchakamchaka si mchezo,
kila siku ya mungu ni mashughuli hapa na pale watu wa maofisini wanashereheka kumaliza mwaka...haijalishi ni apperentice au ni CEO wote wana misbehave bana...khaa...? ama tembea ujionee.
 
Hivi inawezekana vipi akili yako ukiiseti kwenye kazi halafu ikuongoze kuwaza ngono? siamini hili,
Kama umekaa kinyegenyege basi wewe hata msibani wenzako wanaomboleza wewe utakuwa unawashwa tu na nyege zako, nimeshaona mara kadhaa watu wenye pepo wangono wanabadilishana contact hata makaburini kwenye mazishi.

hahahaa...

aisee umeandika kwa lugha ya 'ukali ukali' hivi, ...labda kwakuwa mimi naishi dunia 'nyingine' kabisa ndugu yangu au nadhani nimezungukwa na ma ibilisi watupu hapa...lakini ukweli ndio huo, watu wanajirusha sana makazini jamani...haijalishi ni wake za watu au waume za watu...wote 'mchaka mchaka'...pheeww!

...missed you too guys & dolls,...e bana tunaharakati za kufunga mwaka huku...mchakamchaka si mchezo,
kila siku ya mungu ni mashughuli hapa na pale watu wa maofisini wanashereheka kumaliza mwaka...haijalishi ni apperentice au ni CEO wote wana misbehave bana...khaa...? ama tembea ujionee.
Hehehhe pole mchakamchaka usioruhusiwa kuvaa bukta.

I guess unaangalia ofisi na ofisi, sehemu na sehemu.Kuna maofisi ambayo ni full respect, kama ambavyo nimeshuhudia mimi.Co wokers wanasalimiana asubuhi, wakienda/toka lunch na muda wa kuondoka.Masaa yaliyobaki kila mmoja kajifungia kwenye kakibanda kake.
 
dahhh, aisee hapana bana....ndio maana nimeuleta hapa huu mjadala maana
kwa umri wangu na sehemu nilizozunguka kufanya kazi, ndani na nje ya inji yangu...mapenzi kazini ni kama
kawaida, yaani unakuta huyu anatembea na yule, ...mwingine yeye kila anayeajiriwa mpya anampokea utadhani ana kihirizi... mbaya zaidi kuna zile za kupokezana...

...balaa ndio siku kama hizi, office parties zimefululizana halafu watu wenyewe hawaji na partners basi...yaani ni fulu kujiachia 'wenyewe kwa wenyewe'aisee... halafu nashangaa kuna wataobisha as if hawajawahi kusikia haya, loh? labda mbu nimeyaona mengi...acha niuchune tu na hizi chumvi nilizokula.
 
Mbu limekusibu lipi tena mpenz wangu??! Lol!

Hapana naungana na MTM kuwa mapenzi kazini yanaepukika kwa mtu aliyeko serious na anayetambua thamani ya utu wake na heshma yake.

Mbona kuna wanaofikia hata kuacha kazi sababu ya kusumbuliwa?

Hata katika kapu la samaki waliooza uwezekano wa kumpata mzima upo sema tu tunakinzwa na ile harufu ya uozo na kujikuta tunaishia kulimwaga kapu zima.

By the way, nimekumiss.
 
mbu limekusibu lipi tena mpenz wangu??! Lol!

Hapana naungana na mtm kuwa mapenzi kazini yanaepukika kwa mtu aliyeko serious na anayetambua thamani ya utu wake na heshma yake.

Mbona kuna wanaofikia hata kuacha kazi sababu ya kusumbuliwa?

Hata katika kapu la samaki waliooza uwezekano wa kumpata mzima upo sema tu tunakinzwa na ile harufu ya uozo na kujikuta tunaishia kulimwaga kapu zima.

By the way, nimekumiss.

of course haliwezi kuathiri wote, lakini lipo sana ofisi nyingi hebu tafakari
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwa kweli ukiangalia hizo mambo utachoka, hukawii kutaka mwenza awe baba wa nyumbani. Sasa kazi kwa wanaosafiri kikazi, mbu utachoka! Mnakutana watu wa kila taifa, baada ya chitchat za chai, lunch na evening tea. Ukienda kulala hako ka extensheni kanaita utadhani kwa daktari. Wanaanza kumwaga sera! Mwisho wa kazi siku ya kufunga mafunzo,kila mtu anatupa ndoano kwa zamu! U feel like wearing a tag 'I aint here for auction'
Nachoka pamoja nawe!
 
Mapenzi yapo kila mahali. Makazini, barabarani, mtoni kuteka maji, JF, nk. In our modern times, men and women work more closely together, on more equal terms, and in much more equal numbers than ever before. And with people spending more hours on the job, romantic attachments are inevitable and unavoidable. Of course, it's also where we're on our best behavior, looking good, and thinking fast, smart and 'out of the box' LOL. And with Christmas office parties taking place this weekend, expect more flirts and flings. Merry Christmas.

5818685.bin
 
mbu. . . .
Yanaweza kuepukika ukiwa na msimamo. . . !

Mapenzi kazini hayafai! Maana mkigombana ni balaa. . . Ofisi/department nzima itajua loh!

Na ukimwagwa utaisoma. . .
Akipata mwenza mpya staff wenzio watakua wananong'ona umeachwa!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
dahhh, aisee hapana bana....ndio maana nimeuleta hapa huu mjadala maana
kwa umri wangu na sehemu nilizozunguka kufanya kazi, ndani na nje ya inji yangu...mapenzi kazini ni kama
kawaida, yaani unakuta huyu anatembea na yule, ...mwingine yeye kila anayeajiriwa mpya anampokea utadhani ana kihirizi... mbaya zaidi kuna zile za kupokezana...

...balaa ndio siku kama hizi, office parties zimefululizana halafu watu wenyewe hawaji na partners basi...yaani ni fulu kujiachia 'wenyewe kwa wenyewe'aisee... halafu nashangaa kuna wataobisha as if hawajawahi kusikia haya, loh? labda mbu nimeyaona mengi...acha niuchune tu na hizi chumvi nilizokula.

atakayebisha anabisha tu for the sake ya kubisa lakini khabari ndo hiyo Mbu....nimeipenda picha ya chini aisee hiyo miguu wakitoka hapo ni kwenda kumalizia 'dessert' tu:poa
 
MBu,

all the office stuffs will only affect you if you are not determined to be professional........ if you know what i am saying

dah....hizi skills zetu mkuu tukisema watu wa adapt, wanatuona namna gani vipi but kuwa professional ndo mpango mzima..kazi unaitaka na 'kafling' pia wakataka....then u definitely need some professionalism apo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom