Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,226
UglyfaceKumaanisha ww ni mzuri au mbaya #just curious#
UglyfaceKumaanisha ww ni mzuri au mbaya #just curious#
Yaani sisi hatukuumbwa kutongozwa bablai hua tunaona hio ndo chance ya kufuta machungu ya msoto tunaopitia katika kuichakata pisiWanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?
Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje?
Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga tunajua hamuwezi, ni kwanini wanaume wengi hawatoki kwenye mtego?
Kuna watu watakuja kusema wana msimamo nami nitawaambia aidha Siyo pisi Kali au hajakutaka.Akikutaka huchomoki nakwambia
Uzi tayari
Labda nimkubali mimi kwanza, kiufupi mwanamke hawezi kubadilisha mawazo yangu juu yake, nikimkubali hata akinikataa ntaendelea kumkubali, nisipomwelewa hata akijibebishaje kwanza ndio atakuwa ananitia hasira
Mi mwanamke nikimuona tu mara ya kwanza hapo hapo tayari moyo unaweka tiki au kosa
Mwanamke nisipomkubali anaweza kuja ghetto uchi mi nikamwitishia Mwizi mwiziiiii!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ukishitukia kibaka anakuwinda huwa unachomokaje asikupige roba? the same trick.Wanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?
Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje?
Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga tunajua hamuwezi, ni kwanini wanaume wengi hawatoki kwenye mtego?
Kuna watu watakuja kusema wana msimamo nami nitawaambia aidha Siyo pisi Kali au hajakutaka.Akikutaka huchomoki nakwambia
Uzi tayari
Mnaendekeza ujinga tu, hakuna cha mbinu wala babake mbinu. Uwezi ukasema kila mwanamke anayekutaka unamkubali, wewe utakuwa hauko timamu au bado upo kwenye kula ujana kipumbavu.Kwamba ushawahi kuchomoa mtego? Tupe mbinu za kivita mkuu
Wa panyaMtego gani tena,?
Hufai hata kuwa Mwenyekiti wa mtaaWanakuletea dharau kuna mmoja nilimkataa akawa anasema we nae kama sio mwanaume. Nikaona eeeh anafika mbali nikamuweka.
Usikatae mdada mkuu hata akiwa mzuri ni unapata thwawabu.
Mwanaume anakuwaje maharage ya mbeya? [emoji848][emoji848][emoji848]Wengi ni maharage ya Mbeya.....[emoji125][emoji125]
Haha [emoji81][emoji81]Tatizo mwanamke ukimkataa waziwazi mara anajiunga na chama chao # metoo. Hapo ndipo utakapoingiwa na maarifa wakati uko Segerea tayari!
Ok sawaUglyface
ExactlyMnaendekeza ujinga tu, hakuna cha mbinu wala babake mbinu. Uwezi ukasema kila mwanamke anayekutaka unamkubali, wewe utakuwa hauko timamu au bado upo kwenye kula ujana kipumbavu.