Mitego ya wanawake

Mitego ya wanawake

Sasa toa maoni mkuu, tunakwama wapi?
Mkuu, kama ulivyosema pisi kali, mrembo, hii inamaanisha anavutia pakubwa. Wanaume tulihamishiwa tamaa toka kwa mwanamke. (Zingatia andiko hili wakati hawa analaaniwa, "...na tamaa yako itakuwa kwa mmeo") So tukawa sisi ndo wenye kutamani.
Sasa binti mkali, mrembo matata, ukimzoom in unaona kabeba uhondo ndani yake na anataka akupatie. (Rejea mitego ya mipaja, kifua na msambwanda huko nyuma) weee, unaanzaje kuchomoa ofa?
Kifupi ni hicho tu mkuu, tumeumbiwa kuwatamani.
 
Tunanusurika vipi na huu msala?
 
Umefafanua vizuri, hapo kwenye kutoa pesa kupata penzi (uliyoita quid pro quo) sio msingi wa andiko hili.

Msingi wa andiko hili ni kwamba kwa nini akikutaka mwanamke na akaweka nyavu zake ni vigumu kuchomoka?
Yaani ni kama kulamba asali ni tamu..., Kwahio kujizuia asali sababu za kiafya (kuvunja ndoa, kumkasirisha mwenza wako, magonjwa, kupata hasara ya kiuchumi n.k.) inahitaji nguvu ya ziada; kwahio kama ikiwezekena mwenza wako asijue au kesho yake kila mtu akachukua hamsini zake kwanini uchomoke ?!!!

Tofauti na kina dada risk ni kubwa zaidi kutokana na tamaduni zetu (kuzushiwa kwamba ni malaya au ku-invest kwenye partnership ambayo ni ya kitapeli) au kuambiwa mnajenga familia ila kuja kuachwa njia panda (ukizingatia mimba wanabeba wao)

Kwa wanyama wote -Ke ndio anachagua partner for the benefit of the specie... (wanaume ni sperm donor)
 
Kumbe iko hivyo kwamba KE huchagua mate? Kwa kuku hii ikoje naona ni jogoo kumfukuza jike akimpata, anampanda?
 
Ni kwamba akiwa jogoo mwenye nguvu anapata mate goigoi anapelekea kupigwa tu na huenda jike akakimbia kwa kasi hata sperms zako ni nyingi zinazotoka ila inayoshinda ni moja (kwahio kuna mashindano hapo) Life / Nature is all about Survival of the Fittest...

Kwahio kwenye make-up yetu wanaume tunavutiwa zaidi hata yule mwanamke unayemuona hafai kabisa ila ukifungiwa nae kwenye kisiwa huko mkabaki wawili tu utaanza kujishangaa hivi ulikuwa wapi haukugundua mwanamke mrembo kama huyu.... Ila mwisho wa siku Sex sio lazima iambatane na love..., its just having goodtime ingawa naturally its all about reproduction
 
Hebu fafanua hapo kwenye kuvutiwa na mwanamke unayemuona hafai kabisa, naona kuna somo hapa mkuu!
 
Tunanusurika vipi na huu msala?
Ningesema tuwe na misimamo thabiti eneo hili, ila sasa shetani anawatumia sana hawa watu kupasua misimamo yetu.
Adam alinasa, alishindwa kuchomoka. Nguvu ya ushawishi wa mwanamke kutoka kwa ibilisi ilitugharim hadi sisi leo hii. Samson na ma nguvu yake hakuchomoka, njoo kwa Daudi mfalme, alinasa, Suleman mwana wa Daudi naye yumo. Leo hii watumishi wengi tu wa Mungu wanaanguka na kashfa zitokanazo na hawa viumbe.
Kushindana na huu msala mkuu yahitaji usimamizi wa karibu sana wa roho mtakatifu. Ni sawa na kuwa na karama flan ya roho mtakatifu.
 
Hebu fafanua hapo kwenye kuvutiwa na mwanamke unayemuona hafai kabisa, naona kuna somo hapa mkuu!
Kuna kuvutiwa na mtu sababu ya company yake utapenda kukaa nae au kutembea nae....

Kuna kupenda kuwa na mtu sababu ya status anayokupa kwahio utapenda watu wakuone nae (upate ujiko)

Kuna a forbidden fruit (yaani ni kama challenge sababu fulani hapatikani kwahio inakuwa kama unataka kufanya conquering)

Kuna kiu ya opposite sex yaani wewe unataka kumaliza ashki zako kutokana na hormones zako (na hapa ukiangalia kimaumbo deep down mwanamke ni mwanamke tu) sasa kama hauna choices za watatu au wanne yule mmoja aliyepo atakuwa the Best....
 
Ningesema tuwe na misimamo thabiti eneo hili, ila sasa shetani anawatumia sana hawa watu kupasua misimamo yetu.
Adam alinasa, alishindwa kuchomoka. Nguvu ya ushawishi wa mwanamke kutoka kwa ibilisi ilitugharim hadi sisi leo hii. Samson na ma nguvu yake hakuchomoka, njoo kwa Daudi mfalme, alinasa, Suleman mwana wa Daudi naye yumo. Leo hii watumishi wengi tu wa Mungu wanaanguka na kashfa zitokanazo na hawa viumbe.
Kushindana na huu msala mkuu yahitaji usimamizi wa karibu sana wa roho mtakatifu. Ni sawa na kuwa na karama flan ya roho mtakatifu.
🙏🙏🙏
 
Kuna kuvutiwa na mtu sababu ya company yake utapenda kukaa nae au kutembea nae....

Kuna kupenda kuwa na mtu sababu ya status anayokupa kwahio utapenda watu wakuone nae (upate ujiko)

Kuna a forbidden fruit (yaani ni kama challenge sababu fulani hapatikani kwahio inakuwa kama unataka kufanya conquering)

Kuna kiu ya opposite sex yaani wewe unataka kumaliza ashki zako kutokana na hormones zako (na hapa ukiangalia kimaumbo deep down mwanamke ni mwanamke tu) sasa kama hauna choices za watatu au wanne yule mmoja aliyepo atakuwa the Best....
Ipi Kati ya hizo inafaa kutumiwa kupata chaguo imara?
 
Mwanamke kukubalia n pale unapomeet vigezo vyake,

Kuna mwingine hupenda alie smart, mwingine mkarimu and charming, mwingine mwenye hela, mwingine mwenye gari ,mwinginw mpambanaji, mwingine handsome so once u meet the criteria anakukubalia kama humeet anakutolea nje

Other hand men most hawako against anything all they need is love ,care and more sex it make them hard kuchomoa.

cuz a part from mapenzi upendo mwanamke pia anacriteria zingine,
Hata wanaume wengine nao wana vigezo vyao Vingi tu

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom