Ukifika miaka 30 unaweza kuwapata wanawake wengi lakini huna muda nao sana kama ilivyokuwa kabla ya 30

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Hizi pisi ukifika 30 unaweza kuzipata kwa urahisi sana, ni kama vile hata hutongozi maana una uzoefu mkubwa tayari wa maisha kiujumla hata wanawake unakuwa na uwezo mkubwa kuwamudu, ukimhitaji mwanamke hupindishi pindishi unanyooka straight na kwa bahati nzuri ni kama muujiza waanawake wana kaheshima flani kwa wanaume wenye sifa za utu uzima, tofauti tu ni kwamba hii nguvu utayokuwa nayo hutaitumia kupita kiasi kwenye kuzinyaka pisi, hali yako itakuwa kama mtu ambae anapenda nyama choma lakini hana uwezo wa kulipia, siku akiweza kuinunua ama kupewa ofa ataishughulikia haswa na hata kuharibu ratiba zake, atatafuna mpaka mifupa kukomoa :) :) lakini ni mtu huyu huyu akienda sehemu ambayo kuna nyama za kutosha basi atazila kistarabau kwa ratiba yake, wala hana pupa wala mambo a kukomoa.

ukifika 30 pisi unaweza kuzipata kirahisi Ila akili inawaza mambo mengine ya kimkakati zaidi.... akili inawaza zaidi mikakati ya kufikia ndoto zako kimaisha, unawaza zaidi malengo na misimamo, akili inaweza maendeleo......

hata ikitokea umeipata pisi kali sana wala haikuharibii ratiba kusema kwamba utaikamia sana, ukipiga mshindo wako moja au miwili kazi imeisha, iweje starehe iwe kama mazoezi ya jkt tena kwa mtu unaemhonga ?? :) :)

ni umri huu ambao hata pisi kali unaweza kuwa na mahusiano nayo ya urafiki bila kuwaza vingine, hiki ni kitu kigumu sana kwa vijana maji ya moto walio chini ya 30 wengi lazima wawe na lengo kuu la kuitafuna pisi ule urafiki ni kuzuga tu..... na ndio maana hata wanawake wanapenda urafiki na wanaume watu wazima.


Kunakua kuna tabia zinaanza kupotea, mambo ya kujisifu una madem wengi yanabaki kivyako private, kutangaza umeila pisi kali ili usifiwe nako unaanza kuweka iwe siri yako tu, kuhonga nako unaanza kuchukulia kama kuhudumia na sio malipo kweajili ya kupewa tundu, n.k

Ukubwa dawa, kuwa mkubwa uyaone
 
Hizi mambo za kuambiwa subiri ufike age fulan siziamini kbs kila mtu na experience yake, nakumbuka enzi hizo niko high-school watu wakawa wanasema papuchi chuo zipo za kumwaga hata buku mbili

Nilivyofika chuo sasa 😂... slay queens zinataka lunch KFC au Subway... nikamaliza chuo sikuona hizo papuchi za buku mbili zaid ya wahaya
 
Age 23 mapak 27 nilitembea na wanawake wengi sana kiasi nikahisi nimeshapata ngoma nilikuwa nimepanga single self maeneo flani nyumba ya wastarabu wengi muhuni nikiwa pekeyangu malalamiko yakamfikia mwenye nyumba kwamba aniondoe pale ila anashidwa mana mwenyewe ni mwingi wa kuzitwanga siku zikasonga miaka ikasogea sasa Niko 30 kweli sijui zile tamaa zimeenda wapi mana siwezi hata kutongoza tena yani daah! kweli kila kitu kina mwisho nashukuru Niko salama kiafya..
 
huenda bado hujafikia stage ya kuwa na Matamanio mengi kimaisha, malengo na misimamo kujaa kichwani na bado unasimamisha ovyo ovyo 😂😂
Maisha kaandaliwa huyo, ebu pambana kuyaanza maisha mwenyewe kuanzia kununua godoro la kulalia, huna godfather wala uchawa huuwezi, ramani hazisomi, 35 hii hapa na una familia, unalipa pango(Kuna kodi halafu pango, sasa hujafikia kulipa kodi), mtoto wa kiume yeyote anayejali maisha na kesho yake, KIMKIA kinaweza kuzama ndani kabisa achilia mbali kutosimama ovyo ovyo kwa hata mwezi mzima

40+ ya kina watoto wa Simbachawene hiyo
 
Umri 30 una maajabu yake, vile
Vitu kama hizi pisi ukifika 30, unakuwa na mamlaka makubwa tofauti na zamani ya kuweza kuzipata lakini unaweza kupotezea tu ufanye mambo mengine.

Hata yale mambo ya kujisifu una madem wengi, kutangaza umeila pisi kali ili usifiwe, kuhonga, n.k haya mambo yanapungua sana na hata muda wa kuyafikiria na kuyawekea umakini yanapungua sana.

Ukubwa dawa, kuwa mkubwa uyaone, hii ndio miaka ambayo wengi akili zinatulia huanza kuweka umakini zaidi kwenye shughuli za maendeieo na kupunguza tamaa walizokuwa nazo
Mimi Nadhani sio lazima ufike miaka 30.. ni kutambua majukumu tu na ukipiga hesabu maisha ni mafupi sana kupoteza kwa wanawake bila kufanya lile jukumu Mungu alilokupa kufanya duniani.. ukigundua hilo mapema.. wanawake hawawezi kukuumiza kichwa hata awe mkali vipi

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom