Nimewah kukatalia pisi mbili kipindi niko chuo. Ukisikia pisi pisi kweli mpaka nikiwaambia washkaji zangu hawaamini hata wao hawaamini kama niliwakatalia.
Kuna mmoja tulianza mazoea kipindi iko ndo tumeanza first year mpaka akasababisha nikaachana na manzi angu ambae huwa najuta kumpoteza baada ya kuchukizwa na ukaribu tuliokuwa nao maana ilikua too much.
To make it short, huyu dada alifanikiwa kulala kwangu zaidi ya mara 5 and we didi foreplay so many times but mashine iligoma kusimama sababu sikuwa na hisia nae.
Mwingine alikua rafiki wa manzi angu ambae nimewah kuleta uzi wake humu.
Huyu manzi kuna kipindi alipata sup namimi nilikua around chuo by then maana sikusafiri nilibaki kufanya field tukawa tunawasiliana before hajaja ukizingatia ni shem wangu akawa anadai akija nikampokee stendi nikakubali. Siku anakuja nilienda kumpokea akasema hana pakufikia anaomba afikie kwangu nikamkubalia.
Kiufupi,.. huyu dada alikua ni bonge moja la pisi lakini mashine iligoma kusimama licha ya mbinu zake zote maana nilishapata habari kuwa ana umeme na kweli nikiunganisha dots nikajua ni kweli ukizingatia nilishaponea chupuchupu kuukwaa huo ugonjwa hisia zangu zikastack kabisa and good enough siku zilzofuata aliingia period ndo ikawa ponapona yangu alvomaliza sup akaondoka.
Ila kusema kweli nilijutia maamuzi yangu

Huyo manzi wa pili alokua shem wangu nmefanikiwa kupita nae juzi. Saiv anauza ubuyu na anafanya delivery. Juz alipost ubuyu status nikamwambia aniletee akaja geto tukapiga show moja ya kibabe.
Saiv tunadate ila mguu mmoja ndani mwingine nje
Huyo wa kwanza kwakweli apana ni pisi kali kweli kweli na imetulia lakini inanuka mdomo na sijawah kuiambia na sjui naanzia wapi ila naitamani haswaa, now anakaa jirani na mkoa ninaokaa na inanipenda sana. Nipeni mbinu
PENYE MITI HAPANA WAJENZI