SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Exactly lkn hawachukulii serious maana ni jambo common kwa wanaume wengi sii yeye tu maana wengine sio famous Ila wanayapitia tuKachomoa wengi na kapita na kijiji vile vile![]()
Exactly lkn hawachukulii serious maana ni jambo common kwa wanaume wengi sii yeye tu maana wengine sio famous Ila wanayapitia tuKachomoa wengi na kapita na kijiji vile vile![]()
Umefafanua vizuri, hapo kwenye kutoa pesa kupata penzi (uliyoita quid pro quo) sio msingi wa andiko hili.Kwani hivi ultimatum ya kukubaliana huwa ni nini ? Au huchomoke wapi na kwanini ? Kama mtu unamtaka na yupo radhi kukupa mwili wake wewe umpe makaratasi ambayo tunaita pesa who has got a better deal au ni quid pro qou ?
Does till death do us part practical / do-able especially kwenye ulimwengu wa sasa ?
Kwamba nikipenda embe siwezi kula chungwa au mtu akiwa na kiu ingawa anapenda maji hawezi kunywa Bia au Soda ?
Kwamba unaweza kumiliki mtu kwamba huyu ni wako pekee ? au tamaa za mwili ni mpaka upende ?
Utaona sahihi au sio sahihi ni mtizamo wa jamii kwa wakati husika na ya wanawake kukataa ni sababu ya jamii inavyomuona mtu ambae anatembea huku na kule (mwanaume anasamehewa mwanamke sio kivile)
Nisadie soft copy,nipitie kidgo kidgo,Soma vitabu vya JAMES HADLEY CHASE utakutana na hilo jina
Zingatia neno pisi Kali katika andiko langu hapo juu 🙏🙏Mkuu samahani kidogo, unamaanisha mwanaume (yeyote) akitakwa na mwanamke (yeyote) ni ngumu kuchomoa? Kama ni hivyo hapana mkuu.
Ingekuwa hivi, mwanaume yeyote akitakwa na mwanamke yeyote mrembo ni ngumu kuchomoa. Hapo sawa.
Hapo mwisho nadhani tunakubaliana, Ahsante kwa mbinu za kivita kujiweka mbali sehemu ambayo huna interest!Binafsi naweza chomoa,nikiwa sikutaki ni sikutaki tu.
Tega Utegavyo, kwanza mazingira ya kutegwa tunayatengeneza wanaume wenyewe.
Mtu huna hisia nae unaanzaje hata kukaa eneo analokuepo?
Fine ni kazini,unaruhusu vipi hata akusogelee? labda kama tutapangwa kitengo kimoja na boss (kwa waajiriwa)
Ki home home ndio kabisa,ki ufupi siwezi tegeka kwa mwanamke ambae sijamtamani au kumtaka mimi kwanza.
Ukiona nimekukula sio mitego yako ila umenirahisishia kazi,maana hata usingenitega ningekutaka mwenyewe.
Halafu mwanaume kumkataa mwanamke hizo ni tabia za kinadada
Kabisa aiseeMkuu samahani kidogo, unamaanisha mwanaume (yeyote) akitakwa na mwanamke (yeyote) ni ngumu kuchomoa? Kama ni hivyo hapana mkuu.
Ingekuwa hivi, mwanaume yeyote akitakwa na mwanamke yeyote mrembo ni ngumu kuchomoa. Hapo sawa.
Nikipenda MTU namwambia nampenda,nikiwa na hamu namwambia mpenz tukasex...me miss kukojolewa...mtego upi mkuu?😂😂😂Hujawahi kumuweka mtu kizuizini?
nakuja inboxUshasoma hata kimoja?
Nimerudia kusoma, nimekuelewa vizuri sasa mkuu. Asante🙏🙏Zingatia neno pisi Kali katika andiko langu hapo juu 🙏🙏
Waliokaribu wote walinasa,waliombali umbali ukaharibu mipango(ninaposema wote I mean it)Ushawahi kamwambia mtu unampenda ,akachomoa?
😳makubwa! Nimekwambia mi sitegi,situmii mbinu yoyote....mimi nakutamkia nawe unakubali au kukataa mkuuMnatumia mbinu zipi za kivita mkuu? Maana tunajua hamuhongi