B
hana na ww kwa kurudisha vitu nyuma, nishaifuta hio comment
hana na ww kwa kurudisha vitu nyuma, nishaifuta hio comment
Inategemea unachagua ili iweje....Ipi Kati ya hizo inafaa kutumiwa kupata chaguo imara?
Mkuu nimejifunza mengi Sana kwako, hapa kwenye kuchagua mwanamke atakaye complement weakness zako, kwenye appearance sawa. Kwenye tabia au haiba yake pia unaweza kufanya hivyo?Inategemea unachagua ili iweje....
Kukuza kizazi chako ? (ndio maana watu huwa wanavutiwa na vitu ambavyo vina-complement their weaknesses) mfano mwanamke mfupi kuvutiwa na mwanamme mrefu itapelekea kizazi kuwa na better genes (maybe average height na sio wote mbilikimo au mangongoti) kwahio better genes zinafaa kama unataka kuimarisha generation...
Ila kiuhalisia more than anything ni mtu unayekwendana nae mtu ambaye ni rafiki yako na mnaoshibana na mnaweza kufanya mengi wote..., sababu karne hii maisha sio kufyatua watoto pekee bali ni kufurahia siku baada ya siku na kuvuka milima na mabonde..., sasa kama safari hii itaongezewa na mzigo na kero hauchelewi kukimbia familia au kuombeana vifo...
Ila kama its for the good time (nadhani hapo ni yoyote aliyepo karibu ila sio kingaganizi) huchelewi kutengeneza maadui badala ya marafiki na salamu ulizokuwa unapewa kugeuka kuwa misonyo....
MhhhhHalafu mwanaume kumkataa mwanamke hizo ni tabia za kinadada
AiseeWanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?
Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje?
Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga tunajua hamuwezi, ni kwanini wanaume wengi hawatoki kwenye mtego?
Kuna watu watakuja kusema wana msimamo nami nitawaambia aidha Siyo pisi Kali au hajakutaka.Akikutaka huchomoki nakwambia
Uzi tayari
Tabia nadhani inakuwa influenced na mazingira na jamii husika kuhusu haiba huenda ikategemea pia nadhani wazazi wakiwa wapole na wakarimu ni rahisi kwa watoto pia na kuwa na tabia kama hizo ingawa jamii inachangiaMkuu nimejifunza mengi Sana kwako, hapa kwenye kuchagua mwanamke atakaye complement weakness zako, kwenye appearance sawa. Kwenye tabia au haiba yake pia unaweza kufanya hivyo?
Zamani mababu zetu familia ilikuwa inafanya research unapooa ni wapi kwa kuchunguza ukoo wa upande wa pili (hii ilipelekea arranged marriages ambazo sikubaliani nazo sana)Kwa kuwa chaguo hufanywa na wanaume (at least according to our customs) ni vitu vipi vya kuzingatia unapochagua! Nimeelewa hapo kumchagua mnayeendana. Kuna vingine??
AiseeNikipenda MTU namwambia nampenda,nikiwa na hamu namwambia mpenz tukasex...me miss kukojolewa...mtego upi mkuu?
OooooshKuna mwana kitaa alikuwa anakataa wanawake hata awe mzuri kiasi gani..
kuja kugundua wana wanampulia na ndio mchezo wake alihama mtaa maana ni aibu.
We ni mzuri basi ndo maanaWaliokaribu wote walinasa,waliombali umbali ukaharibu mipango(ninaposema wote I mean it)
Mi tiyariHaya mnaobisha kuna ushahidi hapa, walioruka viunzi waje!
Muulize yusuph kwenye bibliaTunanusurika vipi na huu msala?
ExactlyNingesema tuwe na misimamo thabiti eneo hili, ila sasa shetani anawatumia sana hawa watu kupasua misimamo yetu.
Adam alinasa, alishindwa kuchomoka. Nguvu ya ushawishi wa mwanamke kutoka kwa ibilisi ilitugharim hadi sisi leo hii. Samson na ma nguvu yake hakuchomoka, njoo kwa Daudi mfalme, alinasa, Suleman mwana wa Daudi naye yumo. Leo hii watumishi wengi tu wa Mungu wanaanguka na kashfa zitokanazo na hawa viumbe.
Kushindana na huu msala mkuu yahitaji usimamizi wa karibu sana wa roho mtakatifu. Ni sawa na kuwa na karama flan ya roho mtakatifu.

Hii ni dar tuNa siku hizi mwanaume ukizubaa waweza jikuta ushavalishwa hata pete!
Ila kukataa mbususu ni mtihani sana. Wanaume wengi huwa tunaona kama ni dalili ya udhaifu fulani japo inapaswa kuwa kawaida kama mtu uko morally strong....na unajitambua.
View attachment 2456664
Ayubu aligoma kuingizwa mkenge mkuuNingesema tuwe na misimamo thabiti eneo hili, ila sasa shetani anawatumia sana hawa watu kupasua misimamo yetu.
Adam alinasa, alishindwa kuchomoka. Nguvu ya ushawishi wa mwanamke kutoka kwa ibilisi ilitugharim hadi sisi leo hii. Samson na ma nguvu yake hakuchomoka, njoo kwa Daudi mfalme, alinasa, Suleman mwana wa Daudi naye yumo. Leo hii watumishi wengi tu wa Mungu wanaanguka na kashfa zitokanazo na hawa viumbe.
Kushindana na huu msala mkuu yahitaji usimamizi wa karibu sana wa roho mtakatifu. Ni sawa na kuwa na karama flan ya roho mtakatifu.
Imagine unakutana na mwanamke kwa mara ya kwanza, utakachokiona kwanza ni mwonekano wake, sasa unawezaje kutoa focus ili kuielekeza kwenye things that matter most? Zipi ni indicators za mapema kabisa kwamba huyu ndiye /siye?Tabia nadhani inakuwa influenced na mazingira na jamii husika kuhusu haiba huenda ikategemea pia nadhani wazazi wakiwa wapole na wakarimu ni rahisi kwa watoto pia na kuwa na tabia kama hizo ingawa jamii inachangia
Zamani mababu zetu familia ilikuwa inafanya research unapooa ni wapi kwa kuchunguza ukoo wa upande wa pili (hii ilipelekea arranged marriages ambazo sikubaliani nazo sana)
Cha maana nadhani ni wewe kuchagua kinachokufaa / unachokipenda sababu makosa yanafanyika na dunia ya sasa hata ukifanya makosa kila mtu anaweza kwenda na njia yake kuliko kulazimishwa usipopenda inakuwa ushafeli safari hata kabla ya kuianza....,
Na kama ni life partner muonekano sio kila kitu sababu muonekano unachuja na ukishazoea wala hautababaishwa tena ila personality ya mtu nadhani ni long lasting...
Nimekwepa mitego mingi sana mkuu. Mingi mno,Wamama,Wake za watu,wanafunzi n.k. Mbinu ninayoitumia ni Moja Tu. KUJUA NIPO DUNIANI KUFANYA NINI(MAONO YANGU YA MAISHA). HIVYO KUEPUKA VISHAWISHI INAKUWA RAHISI. Kuna siku niliikwepa kanga moko moja hivi matata Sana!. Mweupe pe halafu ana nyamanyama zenye Milima na mabonde!Kwamba ushawahi kuchomoa mtego? Tupe mbinu za kivita mkuu