Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,261
Daah si ungekoroma kdgo kwan kifua nacho kilinyolewa, au ilikuwa kutiana nyeg* tu! [emoji3][emoji25][emoji25][emoji25] sitaki kusema mzee aibu, demu anapitisha mikono hadi kifuani jmani[emoji23][emoji23]
Happy dude [emoji67][emoji538]
Unaulizwa bill ilikuja sh.ngapi unajibu uliingizwa mikono kifuani [emoji848]
Dawa nyoa then sepa habari za kuoshana na kusuguana uso ndio hupeleka huko!
Juba Sudan kusini mkuu lakini nategemea kuwa Dar wiki ijayo na ningependa kunyolewa kama wanajua kunyoa vizuri.
Kukutega ni sehemu ya kazi yao bt kukubali kutegeka ni maamuzi yako
Si amesema ameshavurugwa toka atoke hapo[emoji3]
Daah si ungekoroma kdgo kwan kifua nacho kilinyolewa, au ilikuwa kutiana nyeg* tu!
Weee thubutu, ukikoroma ukazinzia unakuja kuamka unakuta wananyo na mdende alfu subiri bill yako kama hujaacha simu pale counter [emoji23][emoji23][emoji23]
Happy dude [emoji67][emoji538]
Wewe nipe link na bei ya kunyolewa vizuri.Kukujulisha ni kujisnitch.Hahaha.. ukifika nijulishe basi nikuelekeze
Happy dude [emoji67][emoji538]
Wewe nipe link na bei ya kunyolewa vizuri.Kukujulisha ni kujisnitch.
OK.Ipo shinyanga mzee! Jina la hiyo Barbershop la Jasiri muandaa njia(R.I.P)
Happy dude [emoji67][emoji538]
ni hatar kwa afya mkuu bora uko uko kwa wadada[emoji23][emoji23][emoji23] wanakuosha na maji ya moto na kitambaa kinafuliwa onspot...Kwa haraka haraka unakuwa umebeba ukurutu wa watu kutoka Asubuhi hadi muda ule daaah . Sioshwi tena na hawa wajinga [emoji23][emoji23]
Happy dude [emoji67][emoji538]
Unaingia bar inayohudumia watu 2000 kwa siku, au salani inayohudumia watu 40 kwa siku unakutana na mwanamke anakufanyia vimbwanga na wewe unajifanya una manyegezi unaingia kingi na kuamini kuwa wewe ndio wa kwanza kumuona kumbe umezoa furushi la maradhi na ukiugua unaanza kumalizia fedha kwa waganga wa kienyeji eti umerogwa, umeacha mke mzuri nyumbani na watoto wanamuonea huruma baba yao kakonda hoi kumbe tamaa tuu za kujifanya kila sketi lazima uifunua
Ipo mkoani shinyanga mkuu
Happy dude [emoji67][emoji538]