mwibiti fc
Senior Member
- Dec 4, 2019
- 138
- 75
Kwani ukikataa kuoshwa kichwa kuna dhambi yoyote
Unatoka na miwasho mingi ya kichwa, suluhu ni kujifuta na leso/kitambaa changu mwenyewe.
Sidhani kama hizo huduma mikoani zipo, mana hata huku kwetu kunyoa buku ukimaliza unajifuta futa kisha unajipaka spirit ya kuchakachua mwenyewe, kinyozi hana habari tena na wewe,Mkuu saloon iko maeneo gan maana huku kwetu saloon buku tu unanyoa, Hakuna mdada wala mdogo wake wote wanaume unanyoa utaenda kuoga kwenu
Sidhani kama hizo huduma mikoani zipo, mana hata huku kwetu kunyoa buku ukimaliza unajifuta futa kisha unajipaka spirit ya kuchakachua mwenyewe, kinyozi hana habari tena na wewe,



nazipata sana za aina hiyo. Nikunuoa kwa buku tu basiii

Unatoka na miwasho mingi ya kichwa, suluhu ni kujifuta na leso/kitambaa changu mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app










Mi nikienda kunyoa nikakutana na hizo scenario, kesho nanunua machine yangu ya kunyolea nampa my lady awe anafanya kazi ya kuninyoa hiyo biashara ya kugusishana manyonyoo kwenye kichwa cha juu afu signal ziende kwenye kichwa cha chini mi siwezi kabisa.Tatizo sio kuoshwa kichwa bali Kugusishwa kichwa kwenye Nyonyo zake na anakuweka kati kabisa
Happy dude
![]()
Kwani ukikataa kuoshwa kichwa kuna dhambi yoyote



Kwani ukikataa kuoshwa kichwa kuna dhambi yoyote






Ipo Mkoa wa Shinyanga mkuu
Happy dude
![]()
Kweli leo nimeamini tuchunge sana either ndimi au vidole vyetu Yaani kwa hapa alikuvutia JF anakosa lugha sahihi juu yako ndio na Unamwambia yeye alikuwa sehemu ya wewe kujiunga bila shaka kuna Nondo sana kutoka kwake zilikufanya mpaka ukavutiwa nae ila safi Umemaliza vizuri sana kwamba Bado heshima yake ipo bado kwako kwa ilo la kukufanya ufike
Case closed.
Happy dude
![]()
Ela inatafutwa kwa kila njia,hapo walibaka hisia zako

Naenda kuifua.Sasa handkerchief si inajaa minywele tupu
Happy dude
![]()
Kichwa cha chini kikikuzidi akili........



, hapo inabidi kwenda kuoga sasa na kufua handkerchief huko huko

Ulizia kama wana branch huku Dar maana nywele zangu nimegundua zihitaji kuoshwa

Fanya hivyo mwana maana kama akiniosha vizuri itabidi niombe uwakalaNikienda tena mara nyingine na nikakumbuka kuchukua namba pia nitakutumia.!
Happy dude
![]()