Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,034
- 4,270
- Thread starter
- #21
Sio ya kwanza, soma Maelezo yangu vizuri mkuu
Happy dude

Unaingia Baa mwenyewe, unaagiza pombe mwenyewe, unakunywa mwenyewe...unatoka unayumba yumba huku unaporomosha mitusi, unaenda hatua mbili mbele tatu nyuma.....kisha unaanguka chini na unaanza kuwalaumu Wanaozalisha pombe.

UKIMWI hata kunyoa barbershop tu ni risk.
Habarini za asubuhi hii wanajamvi wenzangu, mimi ni mzima Afya namshukuru Mungu.
Nimekuwa na utaratibu kunyoa mara moja kwenye hizi saloon zetu za kiume ili kuepuka vishawishi vya wadada wanaotoa huduma mle ndani. Kuna mahali hapa nilipohamia, jirani kuna hii XXX Barbershop ndio imekuwa sehemu ya karibu kwenda kupata huduma. Katika uzoefu mdogo nilionao, hawa wadada jamani sijui hawajui kama sisi wanaume tu dhaifu kwa wanawake jamani.
Jana nimeingia mle saloon nikanyoa fresh tu jamaa akaniambia ingia huku kuna watu watakuhudumia kuosha kichwa, nikaingia na baada ya kuingia nikapokelewa na mdada amevaa vizuri mrembo na sura yake mashallah, nikakaa kwenye kiti akaanza kuniosha e bwana ee, si akawa ananigusisha kichwa kwenye nyonyo zake huku ananiuliza vipi huku ananitazama kwenye kioo. Daah yaani kidogo tu nimwambie anifanyie masaji ya mwili mzima maana sio kwa msisimuko niliopata pale.
Mpaka namaliza kuoshwa kichwa baada ya kunyoa na kupaka mafuta daah nilikuwa nishavurugwa kihisia. Lakini nilijikaza.
Jamani wadada mnaofanya kazi barbershop, hebu kuweni na huruma na hisia zetu wanaumena ukijumlisha na huu usawa si mnataka kutufirisi kabisa. Wewe dada unayefanya kazi hiyo jamani hebu muwe na huruma basi na sisi tuna majukumu siku nikiwa na hela ya kufanya masaji mwili mzima nitakuja kwajili ya hio ila sio kwa vishawishi vyenu.
Happy dude
![]()
Kunyoa kipajiUKIMWI hata kunyoa barbershop tu ni risk.
Hivi kupata zile mashine za kunyoa mtu anyoe nyumbani ni issue?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibongobongo unaweza kulazimisha Uber kwa safari ya km 1 kwa sababu kutembea kipaji.

huruma gani?Habarini za asubuhi hii wanajamvi wenzangu, mimi ni mzima Afya namshukuru Mungu.
Nimekuwa na utaratibu kunyoa mara moja kwenye hizi saloon zetu za kiume ili kuepuka vishawishi vya wadada wanaotoa huduma mle ndani. Kuna mahali hapa nilipohamia, jirani kuna hii XXX Barbershop ndio imekuwa sehemu ya karibu kwenda kupata huduma. Katika uzoefu mdogo nilionao, hawa wadada jamani sijui hawajui kama sisi wanaume tu dhaifu kwa wanawake jamani.
Jana nimeingia mle saloon nikanyoa fresh tu jamaa akaniambia ingia huku kuna watu watakuhudumia kuosha kichwa, nikaingia na baada ya kuingia nikapokelewa na mdada amevaa vizuri mrembo na sura yake mashallah, nikakaa kwenye kiti akaanza kuniosha e bwana ee, si akawa ananigusisha kichwa kwenye nyonyo zake huku ananiuliza vipi huku ananitazama kwenye kioo. Daah yaani kidogo tu nimwambie anifanyie masaji ya mwili mzima maana sio kwa msisimuko niliopata pale.
Mpaka namaliza kuoshwa kichwa baada ya kunyoa na kupaka mafuta daah nilikuwa nishavurugwa kihisia. Lakini nilijikaza.
Jamani wadada mnaofanya kazi barbershop, hebu kuweni na huruma na hisia zetu wanaumena ukijumlisha na huu usawa si mnataka kutufirisi kabisa. Wewe dada unayefanya kazi hiyo jamani hebu muwe na huruma basi na sisi tuna majukumu siku nikiwa na hela ya kufanya masaji mwili mzima nitakuja kwajili ya hio ila sio kwa vishawishi vyenu.
Happy dude
![]()

Habarini za asubuhi hii wanajamvi wenzangu, mimi ni mzima Afya
Happy dude
![]()
Kibongobongo unaweza kulazimisha Uber kwa safari ya km 1 kwa sababu kutembea kipaji.
Sent using Jamii Forums mobile app

hujawahi kushindwa japo mfano wako ni irrelevant.Tatizo langu nataka kumfundisha String Theory guluguja.
HahahahahahahahahaUlikuwa unaoshwa kichwani lakini ukawa unahisi unaoshwa kichwa cha chini si ndio? Uje umle huyo dada kimasihara kisha urudi kujumuika na wenzio kwenye uzi wa waliokula tunda kimasihara
Yaani kwanini nyie watu hamnyoshi maelezo kwa mfano wewe baada zile chichu kukuzidishia joto je ulidinda huko down au uliyeyusha vipo marlezo hayakaa sawa hapo bro
Sent using Jamii Forums mobile app