Mitego ya wadada kwenye barbershops

Na sisi tutaendela kuweka wadada classic kwenye barbershop zetu. Hawa ndio asset namba moja katika biashara ya barbershop.

Duuh, kwahiyo mpango wenu wa kutukung’uta hadi walleti haujaisha.! Nitakuwa nanyoa na kuondoka hakuna cha kuoshwa

Happy dude
 
Mkuu una elements za unabii maana umenigusa tabia zangu hizo huja acha hata moja
Unaingia bar inayohudumia watu 2000 kwa siku, au salani inayohudumia watu 40 kwa siku unakutana na mwanamke anakufanyia vimbwanga na wewe unajifanya una manyegezi unaingia kingi na kuamini kuwa wewe ndio wa kwanza kumuona kumbe umezoa furushi la maradhi na ukiugua unaanza kumalizia fedha kwa waganga wa kienyeji eti umerogwa, umeacha mke mzuri nyumbani na watoto wanamuonea huruma baba yao kakonda hoi kumbe tamaa tuu za kujifanya kila sketi lazima uifunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una elements za unabii maana umenigusa tabia zangu hizo huja acha hata moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Badilika, uli uendelee kufurahia familia yako na yenyewe ikufurahie usije ukadanganjwa na mapaja baada ya kutumia dawa za ARV kuna watu hunenepa kweli kweli sasa ukizuzuka na hayo au kudanganywa na ma make up utaacha familia yako inateseka wakati una mke mzuri original
 
Siijui hiyo string theory na sio mbaya kutokuijua. Learning is an endless process and i'm not exceptional mkuu. I stay on my lane and invest in my dream. I 've got alot of knowledge in the area of my expertise na sijaitumia hata robo but siwaiti majina mabaya kwa wasiojua.

Siwezi kukuvunjia heshima mkuu hata ukiniita majina mabovu. You are one of the reasons nilijiunga na hii platform, i respect that. Nice day

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli leo nimeamini tuchunge sana either ndimi au vidole vyetu Yaani kwa hapa alikuvutia JF anakosa lugha sahihi juu yako ndio na Unamwambia yeye alikuwa sehemu ya wewe kujiunga bila shaka kuna Nondo sana kutoka kwake zilikufanya mpaka ukavutiwa nae ila safi Umemaliza vizuri sana kwamba Bado heshima yake ipo bado kwako kwa ilo la kukufanya ufike hapa
 
Duuh, kwahiyo mpango wenu wa kutukung’uta hadi walleti haujaisha.! Nitakuwa nanyoa na kuondoka hakuna cha kuoshwa

Happy dude
Ni hivi mkuu, mimi nataka 60k kwa wiki kila kiti, kunyoa kichwa ni 3,000/-. Unadhani kwa 3,000/- kwa kichwa nitaipata hiyo hela? Lazima niweke mdada classic mwenye kifua cha ukweli, behind matata na lazima awe wild kidogo.

Ukiingia kwake kuna mask, ped&mani cure, scrubbing, na makorokoro kibao. Pesa ipo hapa, ukiingia kwake kama upo na mentality ya kupendapenda lazima upigwe kama 10k ya chap, mkija 10 kama wewe kwa siku tayari ofisi imepata na vinyozi wamepata.
 
Nimeielewa hiyo hesabu 🥺🥺🥺

Happy dude
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom