Mitego ya wadada kwenye barbershops

Mitego ya wadada kwenye barbershops

Kuoshwa tu unabaa hivyo?.... Ww ni msukuma

Tatizo sio kuoshwa kichwa bali Kugusishwa kichwa kwenye Nyonyo zake na anakuweka kati kabisa [emoji25][emoji97][emoji97]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kiranga, Siijui hiyo string theory na sio mbaya kutokuijua. Learning is an endless process and i'm not exceptional mkuu. I stay on my lane and invest in my dream. I 've got alot of knowledge in the area of my expertise na sijaitumia hata robo but siwaiti majina mabaya kwa wasiojua.

Siwezi kukuvunjia heshima mkuu hata ukiniita majina mabovu. You are one of the reasons nilijiunga na hii platform, i respect that. Nice day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIMWI hata kunyoa barbershop tu ni risk.

Hivi kupata zile mashine za kunyoa mtu anyoe nyumbani ni issue?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni Risk lakini wale wadudu wakikaa kwenye hewa ndani ya dakika 5 wanakuwa inactive ukitaka kutumia hizo mashine inabidi kinyozi asafishe kwa sterilization au kwa kutumia Spirit.
 
Una kuta Kitaulo chenyewe kimefuta vichwa vya siku nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah hata mimi ishu ya taulo ilinijia pale wakati ananivuta kidogo nishituke nimwambiea aache kunivuta sema nyonyo zile zilivyoniweka katikati daah [emoji25][emoji23][emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Back
Top Bottom